Mwanahalisi waipa Serikali siku 2 kulifungulia la sivyo watafungua kesi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899

WAHARIRI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo linaandika habari za uongo, wamedai kuwa wao hawajawahi kuandika uongo na badala yake huandika habari kwa weledi na ukweli.

Hayo wameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na wanahabari baada ya gazeti lao kufungiwa kwa muda wa miezi 24 (miaka miwili).

Aidha mmiliki wa Gazeti hilo, Saed Kubenea amesema kampuni yake Hali Halisi Publishers, imeiandikia barua Wizara ya Habari wakiitaka serikali kulifungulia Gazeti lao la MwanaHalisi ndani ya siku mbili (jana na leo), vinginevyo wataenda mahakamani kuidai serikali fidia ya Tsh. 141 Milioni kwa kila toleo.
 
Watafungia magazeti na wataweza kuyadhibiti lakini sio mitandao ya kijamii kama instagram,facebook,twitter,whatsApp na mitandao mingine nawashauri wahariri na watu wapenda uhuru wa kujieleza wajikite sana kwenye hiyo mitandao kuliko magazeti na redio hakuna malaika atakayetumwa kutoka mbinguni kuja kuizima hii mitandao yakijamii Mungu hawezi kuruhusu matumizi mabaya ya malaika wake kihivyo
 
Una tarajia matokeo gani kwa Mtu anae jiona ni mwenye maamuzi ya Mwisho kwa kila kitu ?..
 
Watafungia magazeti na wataweza kuyadhibiti lakini sio mitandao ya kijamii kama instagram,facebook,twitter,whatsApp na mitandao mingine nawashauri wahariri na watu wapenda uhuru wa kujieleza wajikite sana kwenye hiyo mitandao kuliko magazeti na redio hakuna malaika atakayetumwa kutoka mbinguni kuja kuizima hii mitandao yakijamii Mungu hawezi kuruhusu matumizi mabaya ya malaika wake kihivyo
Et malaika wake
 
Eh..ahem..kuna uzi humu ndani kuwa serikali inatengeneza mswada wa kudhibiti mitandao ya kijamii
Bwana mkubwa alishaomba malaika waje waifungie
 
WAHARIRI wa Gazeti la MwanaHalisi linalomilikiwa na Mbunge, Saed Kubenea lililofungiwa na serikali wamekanusha taarifa ya serikali kuwa gazeti hilo linaandika habari za uongo, wamedai kuwa wao hawajawahi kuandika uongo na badala yake huandika habari kwa weledi na ukweli.

Hayo wameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na wanahabari baada ya gazeti lao kufungiwa kwa muda wa miezi 24 (miaka miwili).

Aidha mmiliki wa Gazeti hilo, Saed Kubenea amesema kampuni yake Hali Halisi Publishers, imeiandikia barua Wizara ya Habari wakiitaka serikali kulifungulia Gazeti lao la MwanaHalisi ndani ya siku mbili (jana na leo), vinginevyo wataenda mahakamani kuidai serikali fidia ya Tsh. 141 Milioni kwa kila toleo.
 
Nyie Mwanahalisi si mkubali tu kufungiwa, mbali na hapo mtakuja kuchimbua PhD za watu huku!
 
Watafungia magazeti na wataweza kuyadhibiti lakini sio mitandao ya kijamii kama instagram,facebook,twitter,whatsApp na mitandao mingine nawashauri wahariri na watu wapenda uhuru wa kujieleza wajikite sana kwenye hiyo mitandao kuliko magazeti na redio hakuna malaika atakayetumwa kutoka mbinguni kuja kuizima hii mitandao yakijamii Mungu hawezi kuruhusu matumizi mabaya ya malaika wake kihivyo
Mkuu mbona mitandao inaweza kuzimwa tu,sema n ngumu kufikia huko mpka hali ya hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom