MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

Akikubaliwa basi itakua ni safari ya kuanza
kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
 
huyu mwizi anapenda mahakama kama mpare vile khaaa madocument
yake ya kugushi tarehe haziwiani af unamtetea we rejao wewe


Kazi nzuri Manji... waache kukurupuka!
Chonde chonde.. ukishinda kesi yako usimuadabishe Mengi kwa kumdai sh. 1
 
Mdosi dume huyo, anajiamini sana. safari hii lazima wamlipe nyingi tu.

acha hizo maneno, utaolewa bila mahari wewe, eti mdosi dume! hivi weewe, mbona wenzio mliotibiwa pamoja mtindio wa ubongo wamepona, ni nini kimekusibu mpaka unahangaika namna hii?
 
Huyu mtu anatoa wapi ujasiri huu?
Anautoa CCM. Hujasikia jinsi wale wabunge wa CCM wakiongozwa na Mtemvu walivyo mtembelea kisha kupewa hundi za milioni mojamoja? Inaelekea huo ni utaratibu wa kawaida na Manji anapata kiburi kwa hilo
 
tunaomba maoni ya wanayanga, manji mtoa mihela kuipa yanga anasakaamwa, au hii ni mbinu ya simba, JOKES!!!!!
 
Unajuaje kama ni wa jinsia dume....akisema umemtusi je utabisha?....Lol!!
BTW hata mie nilishangaa sana ile kauli...
Mdosi dume huyo, anajiamini sana. safari hii lazima wamlipe nyingi tu.

Rose 1980 samahani kama nimekukwaza, ila nilimlenga OMR ambaye ni dume kwenda kushabikia uana dume wa Manji kana kwamba yeye ni wa jinsia tofauti.
 
Yaani mi sielewi.......YAANI MTU ANAKUIBIA AHALAFU ANATAKA USISEME CHOCHOTE JUU YA WIZI WAKE...........Tena anataka kutumia mahakama.........mhnnnn ............ Kwa mahakama zetu.tusishangae kukuta anapewa uwezo huo wa kwamba huongei chochote bila nidhini yake kwa maandishi............
 
Ndugu wana jamii, katika sakata la mwanaharakati msemakweli kumlipua Manji dhidi ya wizi wa fedha za umma, manji amejibu mapigo kwa kufungua kesi dhidi ya mwanaharakati msemakweli, akimwunganisha Mengi kwenye kesi hiyo.

Nimebahatika kupata nakara ambayo nime attach lengo wote tupate habari.



kesi-manji.jpg


Wana JF,

Mtu akisha haribu na akaja gundulika kuwa yeye ndio aliye haribu anakimbilia mahakamani kuzi raia wasimseme hadharani kama anajua hakuwa na hatia au kosa au hajaharibu kwanini akimbilie mahakamani kuzui watu wasimseme kwa public?

Kamkuja kamtindo ka kujifanya watu wana jua kukimbilia mahakamani sana au Mahakama nayo imeanza kuwa sehemu ya kuchezewa chezewa tuuu kama mpira wa kona nini? kila jambo likitokea ghafla utasikia mahamani kapeleka court injunction sasa sielewi kwani nini? Mahakama sasa imekuwa uwanja wa bibi

Ombi kwa mahakama sasa wanapaswa kuwa more professional na kazi zao na ku study case ziletwazo mahakamani ndio kama yale ya kule Arusha Madiwani walichemka wakaomba mahakama izue wasisemwe kwa public sasa case yao ni kama zero kabisa ndio haya ya Manji sasa hakujua ya kagoda ipo siku itakuwa ya mwizi ni 40??
 
Marekani kuna sheria inayomlinda say umemuibia mtu halafu unatumia hela zake zile zile kutafuta some gd lawyers kuleta utetezi. Lakini all in all huu ni uthibitisho kwamba Hawa jamaa si kututafuna tu bali pia hawawaogopi wananchi, wala dola kwa kisingizio cha sheria hizo hizo CCM inajidai inafuata misingi yake.

This is ridiculous, stupid and unbelievable, upuuzi huu huwezi kuufanya nchi nyingine yeyote inayofuata misingi ya kisheria kiukweli ukweli na si maigizo kama tunayoyaona hapa.

Waliosema bongo tambararereeeeeeeeeee wala hawakukosea. Hv ile njia nyingine kwa nn haitumiki? UWT wako wapi? Nadhani sasa watu wakiambiwa madhara ya rushwa na ufisadi mifano hai wanaiona.
 
Back
Top Bottom