BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Wadau;
Serikali yetu inayoongozwa na magamba sasa imedhihirika rasmi kwamba imefilisika. Mwanahalisi leo imeandika kwamba serikali iko hoi kifedha na imetoa nakala ya barua kutoka menejiment ya utumishi wa Umma ambayo ni taasisi chini ya Ofisui ya rais kwenda kwa makatibu Wakuu wote ikiwaagiza kwamba kutokana na ufinyu wa mapato ya serikali, ajira mpya zipunguzwe kwa asilimia 50.Upandishwaji vyeo nao upunguzwe kwa asilimia hiyo hiyo.
CCM KAZI KWISHA!!! WAMESHINDWA KABISA KUSIMAMIA NCHI!
Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele.
Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana.
Tunatimiza kauli mbinu ya chama katika uchaguzi wa 2010
Source: Msanii Kikwete