MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

Status
Not open for further replies.
Mwanahalisi ni la komu ambaye ni kada mzuri wa chadema kwa hiyo huu ni mwendelezo tu wa chuki zao na watashindwa.
 
Sasa huu ndio ushahidi, mbona mnakuwa wafinyu wa mawazo? Habari hizo hizo zinageuzwa juu chini halafu mnaziona ni mpya.

Siamini kama ni ufinyu wa mawazo. Sijajua ni kwa kiasi gani unayaona yanayoendelea hapa nchini na dhana yako ya "ufinyu wa mawazo." Sijui kama unasema kwa kufikiri au umejaa siasa hata katika hali hii nzito na ya kuogofya inayoendelea. Nashauri katika issue sensitive kama hizi tuache akili zetu zifanye kazi badala ya hisia. Thanks
 
Chadema kwa sasa ni sawa na simba aliejeruhiwa,baada ya kshindwa kuwatumia madaktari wameibukia kwny magazeti na kwny jf ili kumaliza hasira zao.
 
Ni upuuzi kweli au hoja zetu sasa ndo upuuzi? Unatumwa na dhamiri gani yakusema huu ni upuuzi? Si amini kama dhamiri yako ni clean!
 
Ni hasira kuhusu nini? Unaposema Chadema, wewe ni nani? Lenga hoja na kuoanisha na hali halisi inayoendelea nchini. Si suala la chama hapa.
 
Ni kweli wana njaa ya mabadiliko, lakini wewe si umeshiba EPA na ufisadi mbalimbali. Huwezi kuwa na mawazo huru ukasema haya ni mambo ya njama za CDM. What is CDM by the way? Hapa si CDM - hapa tunazungumzia issues ambazo hata wewe mwisho wa yote hutaachwa ukibweka kama unavyofanya. Mauaji ya kinyama yanafanyika na moyo wako umekula ganzi tu eti kwa sababu ya maslahi yako!! This is quite cantankerous.
 
Angalau sasa unarudi kwenye hoja. Niombe Watz, tuwe watu reasoning na si vijazba na vihisia. Tuzungumze kwa kupima mambo na hapo tutawasaidia hata viongozi wetu. Tusiwe maskini wa mawazo. Fedha mfukoni hamna na akili nazo ziwe hivyo? No, no, no. Thank you.
 
Ni naamini kuwa hujui unachosema na kama unajua basi unashida kubwa sana. Usalama wa Taifa hawatumii mbinu za mbinguni bali za hapahapa tunapoishi. Tena ni za kusomea na kubuni kama wanavyosoma wengine na kubuni kama wengine. Usidhani mbinu zao haziwezi kujulikana. Tambua hilo halihitaji shule.
 
Tangu wiki jana, toleo la jumatano, Mwanahalisi waliamua kuunganisha habari ya Dkt.Ulimboka na ile dhahama iliyowatokea wahariri wake miaka kadhaa iliyopita.Binafsi sikuona umuhimu wa wao kuirejea habari hiyo.
Tena,katika toleo lake la wiki hii,leo, kuna takribani makala tatu, zilizoandikwa na waandishi tofauti, zinazungumzia suala moja( la Ndugu Ulimboka ) kwa kutumia maneno yale yale waliyoyatoa kutoka katika chanzo kimoja cha habari, kitu ambacho nakiona ni unnecessary repitition.Inanishangaza kwa nini waandishi wake hao waweke uzito mkubwa katika suala moja wakati kuna masuala mengine ya kujadili?
Kwa kweli naanza kukosa thamani ya pesa yangu kwa kununua Mwanahalisi.Tafuta gazeti hilo la wiki hii uthibitishe hiyo unnecessary repitition..
Samahani kama kuna mtu nimemkwaza kwa kutumia maneno / lugha ya kuudhi.
 
ufisadi wa ajira wilaya ya ilala.

SALUMU KAZUKAMWE ni afisa manunuzi wa wilaya ya ilala,huyu jamaa aliajiriwa kupitia mlango wa nyuma ie kwa rushwa na alibebwa na katanga ambaye sasa ni katibu mkuu wa TAMISEMI, ajira haikutangazwa popote kinyume na taratibu za ajira serikalini.jamaa ali push kwa kumhonga mkurugenzi wa wilaya ya ilala tsh laki sita.

salum maarufu kwa jina la KAZU aliiba pesa za misaada ya waathirika wa mafuriko ya jangwani akanunulia gari aina ya suzuki vitara nyekundu.

wanatanuru,tuimulike kwa macho mawili halmashauri ya manispaa ya ilala kuhusu ajira za mlango wa nyuma.
 
Bob Maley alishaimba, You can fool people for some time, but you cant full all the people all the time
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom