MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

Status
Not open for further replies.
Upuuzi tu!! Anaetaka kukuua huwezi kumjua! Na kifo hakipangwi na kundi la watu! Nadhani hata utaratibu wa kufanya kazi kwa TISS hamuufahamu
 
I am sick & tired of Tanzania and CCM, Bring the AK47 may be they will respect me next time.
 
Wakati wote minamshukuru mungu kwakuweka usawa wakifo maanayake hawa ccm ingelikuwaukiwa ccm hufi du! Mi sijui ingelikuwaje? Ushahidi tunao raiya wote tunashukuru kuwafahamu maosama ta tz
 
Kama ni ukweli Wa kupikwa basi ni kwa nini Serikali halijalifungia gazeti la Mwanahalisi?,kumbuka pia kazi ya waandishi Wa habari ni kuripoti habari ziwe nzuri/ziwe mbaya sasa kama Serikali imetenda mabaya iandikwe vipi?

Ni nani kati yetu ana uhakika kwamba serikali imetenda mabaya kama sio imani yetu kubwa tuliyoweka mwanahalisi?
 
Zoka asijidanganye kua ata fanikiwa anacho fikiri kufanya,kuua wananchi mmoja mmoja sio suluisho la SEREKALI YA CCM KUFANYA WANAVO TAKA TUKA NYAMAZA KIMYA!pia Zoka asijidanganye yeye na awo wapuuzi wenzake wapo salama la hasha!wana nchi tumechoka,wao pia Roho zao zipo REHANI,NA WAWE MAKINI KWA MAPAMBANO NA TUPO TAYARI KWAMAPAMBANO.LIWALO NA LIWE.
 
nimesoma hii taarifa ya mwanahalisi, nimeikumbuka ile thread ya yule member (jina limenitoka) aliyesema kuwa kuna kifaa cha aina ya mwamvuli kitatumika kwa ajili ya mnyika na pia hao watu walipelekwa bulgaria kwa ajili ya mafunzo...sasa ninaposoma makala hii ya mwanahalisi hasa hapo wanaposema njia mojawapo itakayotumika ni kumpiga sindano na kuwa wameelekezwa wasiache unyayo wowote ambao utakuwa traced...

sijui ule uzi wa ule member uko wapo siuoni humu jf..
 
Upuuzi tu!! Anaetaka kukuua huwezi kumjua! Na kifo hakipangwi na kundi la watu! Nadhani hata utaratibu wa kufanya kazi kwa TISS hamuufahamu

kukosa ufahamu kumechangia sana kutupa lawama dhidi ya TISS wengi wanatumia taarifa za kuokota kutoka vyanzo mfu.
 
sijaona kipya kwenye gazeti la mwanahalisi zaidi ya kuandika yale yale yaliyojitokeza wiki hii na kuandikwa sana mitandaoni.

Mwanahalisi wanajua kucheza na mitandao kisha wanaonekana ni waanzilishi.

kwa wewe unayejua mtandao umeona lakini wale wengi wasio jua acess mtandao wanaona sasa jinsi serekali ya mabwepande inavyohaha baaba ya kushindwa kuleta maisha bora badala yake inaleta maafa,misiba na uzuni kwa wananchi.ni vyombo vya habari vichache vinavyoweza kuhabarisha wananchi habari kama hizi kama inavyofanya mwanahalisi.uharo,jamba leo na alnur ni vipiga propaganda tu kwa niaba ya mabwepande,,,,,,umenisoma mbu sugu?
 
Upuuzi tu!! Anaetaka kukuua huwezi kumjua! Na kifo hakipangwi na kundi la watu! Nadhani hata utaratibu wa kufanya kazi kwa TISS hamuufahamu

wewe unajua utaratibu upi huwa wanatumia?
 
Zoka asijidanganye kua ata fanikiwa anacho fikiri kufanya,kuua wananchi mmoja mmoja sio suluisho la SEREKALI YA CCM KUFANYA WANAVO TAKA TUKA NYAMAZA KIMYA!pia Zoka asijidanganye yeye na awo wapuuzi wenzake wapo salama la hasha!wana nchi tumechoka,wao pia Roho zao zipo REHANI,NA WAWE MAKINI KWA MAPAMBANO NA TUPO TAYARI KWAMAPAMBANO.LIWALO NA LIWE.

Bahati mbaya unatoa matishio ambayo unawakataza wenzako kufanya sasa ni wewe unataka kupambana ... Zoka yuko kimya anaonyesha hataki kupambana.
 
nakosa hoja ya kuchangia mambo ya kusadikika! napata taabu kuanza kuchangia nasikia mara zoka,slaa,mnyika,kubenea,ulimboka,sumu,mauaji,chadema,njama, usalama wa taifa, mwanahalisi,lema,ikulu, polisi,mabwe pande, chacha wangwe,umaarufu binafsi,ccm,tunaelekea kubaya,watanzania tumechoka bora tupigane vita,mwakyembe,ajari,vyakula,sumu et al!
 
Yani nyie mnaweza kusababisha Mnyika apate pressure, kila akichungulia humu anakutana na vitisho vimerudiwa. Acheni kumtisha jamani, sio vizuri.

Mbona Mr dhaifu mwenyewe amejaa pressure kibao? anashinda anatembea na walinzi kuliko hata Obama.. kwa nini mnyika asiwe na wasiwasi na umafia wa ccmabwepande?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom