MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

Status
Not open for further replies.
Kitambo tangu Saad Kubenea alipomwagiwa tindika aliwatuhumu hao hao. Ni nini kizuri tulitegemea kiandikwe na mwanahalisi kuhusu watu hao hao????

Mwamba ngoma huvutia kwake,
 
Thafi thana kubenea!!ccm na cha mchawi haiwi kutapatapa

sijaona kipya kwenye gazeti la mwanahalisi zaidi ya kuandika yale yale yaliyojitokeza wiki hii na kuandikwa sana mitandaoni.

Mwanahalisi wanajua kucheza na mitandao kisha wanaonekana ni waanzilishi.
 
Kitambo tangu Saad Kubenea alipomwagiwa tindika aliwatuhumu hao hao. Ni nini kizuri tulitegemea kiandikwe na mwanahalisi kuhusu watu hao hao????

Mwamba ngoma huvutia kwake,

Duh mnajitaidi kuufunga pingu ukweli, watanzania wakijua ukweli wewe inakugharimu nini shehe?
 
Na bado ngoja uone mtaalam Dr Ulimboka atakapokua ana fanya Jogging maeneo ya ikulu akiwa na Afya Tele hapo ndipo patachimbika vizuri
 
Umemuona bungeni anatetemeka hovyo kama vile ana homa kali? Maskini kijana wa watu, anajuta ya nini aliingia kwenye siasa, si bora hata angekua anafanya kazi kwenye duka la wahindi.

Kweli umejaliwa upuuzi
 
mwanahalisi ni gazeti la Udaku limeegemea sana kwa wapinzani haliko kati katika kutoa habari
 
Kitambo tangu Saad Kubenea alipomwagiwa tindika aliwatuhumu hao hao. Ni nini kizuri tulitegemea kiandikwe na mwanahalisi kuhusu watu hao hao????

Mwamba ngoma huvutia kwake,

Walichoandika Mwanahalisi ndio uhalisia Wa maovu yanayotendwa na Serikali uliokuwa
po mwanzo unaoendelea na utakaoendelea sasa ulitaka Mwanahalisi waandike vipi?
 
Walichoandika Mwanahalisi ndio uhalisia Wa maovu yanayotendwa na Serikali uliokuwa
po mwanzo unaoendelea na utakaoendelea sasa ulitaka Mwanahalisi waandike vipi?

copy and paste ya mkusanyiko wa habari za kuokoteza mitandaoni nao unaita habari za uchunguzi??????????
 
ukweli wa kupikwa

Kama ni ukweli Wa kupikwa basi ni kwa nini Serikali halijalifungia gazeti la Mwanahalisi?,kumbuka pia kazi ya waandishi Wa habari ni kuripoti habari ziwe nzuri/ziwe mbaya sasa kama Serikali imetenda mabaya iandikwe vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom