MwanaHalisi & News of the World: Comparative analysis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaHalisi & News of the World: Comparative analysis

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 19, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG] [​IMG]


  Both are rags

  Both hacked people's private voice messages

  One is led by global media mogul

  The other is led by a school leaver who has no idea what Lancaster agreement is let alone read any literary works

  I'm guessing the in the wake of Mwanahalisi hacking Zitto Kbwe's phone and conversation with deputy spy chief "JESHI LA POLISI " already had evidence of this hacking from ages ago? If so, why on earth weren't the Mwanahalihalisi's journalists arrested for conspiring to pervert the course of justice apart from anything else? Surely intervening in a serious criminal investigation in this way is an arrestable offence?


  In the UK so far most of those responsible have resigned ,arrested and will be interrogated by the parliament while in Tanzania on the other hand its business as usual...no collective responsibility from JESHI LA POLISI, MINISTER OF HOME AFFAIRS or Chief of police.
   
 2. Kamisaa

  Kamisaa Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JohnGalt

  Ni kweli inashangaza sana kwamba Mwanahalisi halijachukuliwa hatua kwa walichofanya. Hakuna explanation zaidi ya kwamba media industry ya Tanzania inakingiana kifua kwa kutuwajibishana hata katika mambo ya msingi. Kuna upuuzi mwingi tu unaendelea, lakini husikii Jukwaa la Wahariri au Media Council of Tanzania ikikemea uozo uliopo ndani yao. Kutwa wapo wanawajenga wanasiasa uchwara wa upinzani badala ya kujenga taaluma yao.

  Lakini pia vyombo vya usalama vipo wapi? Nadhani Tume ya Mawasiliano iliahidi kuchunguza tukio la Zitto lakini hatujasikia hatua yoyote dhidi ya Mwanahalisi ku-hack simu yake na hata email za wanasiasa wengine. Why is this okay? Hatuna sheria za kulinda privacy katika mawasialiano? Inasikitisha sana sijui nchi yetu inakwenda wapi.

  Baadhi ya habari za Mwanahalisi walizoandika baada ya ku-hack simu na emails:

  Usalama wa Taifa wavamia CHADEMA | Gazeti la MwanaHalisi

  Zitto ahusishwa na Rostam | Gazeti la MwanaHalisi
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siyo kwamba hatuna sheria. Hatuna utawala wa kisheria. The CEO is missing in action. Mawaziri wake wako busy kujitajirisha, unategemea nini?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  And there was a super hacking kwenye uchaguzi wa BAVICHA na JF ilipost zile Mpesa details

  One day utawala wa sheria utatawala kisheria
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  poor analysis
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Sometimes these actions are justified. Serikali huwa inalalamika kuhusu kuvuja kwa siri zake. I think we shouldnt just think about "SECRECY AND PRIVACY", we should also think about WHAT IS IT THAT PEOPLE WANT TO KEEP PRIVATE AND SECRET.

  Tumeona bungeni barua ya katibu mkuu wa wizara, sijui kama ilikuwa classified as SECRET or not. Lakini ndio haya mambo ambayo hawataki tuyajue. Ask yourselves if keeping things of this kind SECRET does more good or harm to this country.
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  How to Write a Comparative Analysis To write papers in which you compare and contrast two things: two texts, two theories, two historical figures, two scientific processes, and so on. "Classic" compare-and-contrast papers, in which you weight A and B equally, may be about two similar things that have crucial differences (two pesticides with different effects on the environment) or two similar things that have crucial differences, yet turn out to have surprising commonalities (two politicians with vastly different world views who voice unexpectedly similar perspectives on sexual harassment).

  Linking of A and B. All argumentative papers require you to link each point in the argument back to the thesis. Without such links, your reader will be unable to see how new sections logically and systematically advance your argument. In a compare-and contrast, you also need to make links between A and B in the body of your essay if you want your paper to hold together. To make these links, use transitional expressions of comparison and contrast
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hacking to get news that (in my view) are of interest to the public is ok, but hacking for the sake of 'blockbuster' journalism is wrong. Now, habari ya Zitto ina umuhimu mkubwa sana kwa wananchi kujua. . Kinachomfanya mtanzania kufuata chama A na sio B ni sera, utendaji, na imani kwa safu nzima ya viongozi wa chama husika katika kusimamia yale wanayoahidi. Sasa ikatokea unafuata chama A kumbe kiongozi huyo ni kibaraka wa chama B kwangu mimi is unethical. Na Mwanahilisi walikuwa very right kujulisha wafuasi na waumini wa Zitto juu ya mwenendo wake huo.

  Ya News of the world something else, maana walikuwa wana-hack hata voicemail za marehemu (Milly Dowler) na ku-delete messages huku wakiwapa wazazi wa marehemu 'false' hopes kwamba she was still alive. And all these was to generate story. Hapo mimi sioni public interest!
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Siyo kila linalotokea UK lifanyika Bongo nyie vipi......
  MWANAHALISI MWENDO MDUNDO

  mbona hamlalamiki utawala wa sheria kwenye
  1. ufisadi
  2.uchakachuaji matokeo ya uchaguzi mkuu
  3.upotevu wa note BOT
  4.EPA-KAGODA
  5.Mke wa Rais kutumia GVT jet on her issue
  6.Mauaji ya Raia ARUSHA, NYAMONGO....
  7.
  8.
  9

  list hiyo juu. in UK watu wanafungwa na Kuresgn
  Ukiwa kila jambo mnaiga UK mtaniambia kama kuna utawala wa sheria,
  ulishikwa course ya PL mara ngapi

  MWANAHALISI mbele kwa mbele hilo la UK ni la udaku
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Very poor, scandalous analysis. Magazeti ya Shigongo ndiyo ufananishe na News of the World, siyo Mwanahalisi, ambaye mhariri wake alitaka kupofuliwa macho na mafisadi wanaojulikana ambao mmoija wao kisha toroka.
   
 12. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  KAJIPANGE UMEKURUPUKA MKUU
  Kuna bonge ya Tofauti jombaa
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Well said Zak: MwanaHalisi imefanya kazi kubwa sana kuuwafichua mafisadi wanaolitafuna taifa hili, kulko magazeti yote hapa nchini. MwanaHalisi ndiyo imemfanya kinara wao RA kubwaga manyanga na kutoroka, na wengine wanafungasha virago.

  MwanaHalisi ndiyo gazeti pekee lililokuwa na uthubutu kuichapisha ile timu ya watu ya mafisadi 11 wakiongozwa na JK. Na kweli, katika timu hiyo mmoja mmoja medondoka, na kuna wawilli tayari kesi ziko mahakamani.

  Huwezi kulinganisha MwanaHalisi na gazeti lile la udaku NEWS OF THE WORLD.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ila tuache utani na brand za watu. Mwanahalisi vs News of the world? hayo magazeti hayalingani na hata waandishi wake ni wa viwango tofauti.
  Tafadhali usimdhalilishe Rupert Murdoch na kampuni yake,you'll be sued(kidding).

  Role ya media katika kukuza demokrasia si ya kubeza hata kidogo.media ina nguvu kuliko hata Executive pillar katika kuelimisha,kujuza na hata kutoa influence kwa public

  Magazeti mengine ni sawa na magazeti pendwa tu ya wiki ila tofauti ni kwamba yenyewe yamejikita katika fani ya siasa na kulazimisha kuandika kile ambacho watu wanataka kusikia hususani kuendeleza hujuma kwa maslahi binafsi na kudidimiza demokrasia.Wanaandika tu vitu vya kinafiki na kuupotosha umma,siku watanzania wakijua ukweli basi vyombo vya habari vitapoteza credibility.jukwaa la wahariri mnayo changamoto

  Kuhusu suala la zitto na Jack zoka ,sijui ni kwa nini Mwanahalisi hawakutaja alichooongea Zitto na Zoka kama kweli wao ni deadly hivyo na kwa maslahi ya umma na au kama hawakuwa na malicious intent nyuma ya hiyo story.Ni viongozi wa ngapi kwenye upande wa upinzani wenye mawasiliano na viongozi wa usalama,CCM na watendaji wakuu wa serikali na hayaonekani kuwa Tatizo?kwa vyovyote vile mwenye akili ni lazima afikirie mbele zaidi na tusiwape mwanya watu wanaotumiwa kwa maslahi ya wachache kutushirikisha katika uchafuzi,ukandamizaji au harakati za kuuwa demokrasia kwa ajili ya maslahi ya wachache.Tusiogope kusema.

  Tataizo kuna baadhi ya magazeti yamejifanya kwamba na yenyewe ni jembe na kutafuta sifa za kijinga kabisa kwa kutafuta story za udaku in a biased manner kwa ajili ya kuwabomoa au kutumika kama political weapon against the political rivals.Hakuna kitu kibaya kama vyombo vya habari/gazeti kusaliti trust waliyopeawa na umaa kwa kuaminika kuwa competent lakini kumbe lina ajenda ya siri tena against public interest.

  Nalipongeza sana gazeti la Raia Mwema kwa kuwa Objective,Endeleeni kuwa mfano bora wa magazeti.Congrats Jenerali ulimwengu,timu ya wahariri na waandishi kwa pamoja na wasomaji wenu kwa Ujumla.
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katika watu wanaochekesha wewe ni namba moja kulingansiha News of the world na Mwanahalisi. Waathirika wakuu wa Mwanahalisi ni mafisadi huku waathirika wakuu wa hilo gazeti la majuu ni watu wasio na hatia. Kama mafisadi wanaathirika na uwepo wa Mwanahalisi mimi niko tayari kulivuta hili ganja langu hadi majogoo.

  Big up Mwanahalisi.
   
 16. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inategemea na habari iliyokuwa hacked, kama issue hiyo ni ya kidhalimu, wala hakuna atakaye sema sorry!
   
 17. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  The lines in red makes me question your sense of things. If you think justice means taking Mwanahalisi out of the picture, then your analysis (not comparative) is flawed.
   
 18. c

  chapombe Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mmmmmmmmmmmmh
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ushaogopa eeh?
  Subiri kesho ujinyakulie nakala yako ya Mwanahalisi, siri za kuhujumu uchumi ndo wataka ifichwe? Hama planet, it might be accepted huko.
   
 20. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Amuone dr.Lwaitama kwa msaada.
   
Loading...