Mwanahalisi na Raia Mwema ni magazeti ya ajabu kabisa

Aisee hawa mwanahalisi sijawai ona,huu uthubutu ni wa kipekee,mjaliwe na kuongozwa zaidi kutupa ukweli. Ni tegemezi la wananchi kwa sasa.

naona mafisadi huwa wanajaribu kuyanunua mtaani yaishe! Ila huwa wanauwezo wa kurudia toleo kama wananchi mkiomba.

Aisee kama hujanywa chai vizuri kabla hujalisoma mwanahalisi asubui unaweza kuparalise japo ufisadi huo hukufanya wewe! Habari zao ni moto tanzania nzima hamna tena.
 
mwache ajilipue, kupotea kamanda mmoja kwa kuwasambaratisha mafisadi 30 utakuwa wewe ndio shujaa wetu, kwa kupiga domo tu mafisadidi wala hawajali.na ukizidisha domo lako watakulipuwa wewe.

Thats the spirit, naanza kuona faida ya Muungano. Sasa unaonaje ukaanza wewe Mzanzibari mwenye kaspirit ka Uarabu...
 
Yaani nikisoma Mwanahalisi au Raia Mwema, napata uchungu sana.

Inasikitisha na kushangaza jinsi hii serikali ya CCM ilivyo.

Tanzania inaelekeo sipo.

Nimesoma Mwanahalisi na Raia Mwema, nikakosa raha karibu masaa 2 na kila nikikumbuka mada zenyewe, natamani nikamate kiongozi nijilipue ili tufe wote.

Maana nikimwondoa huyo kiongozi, nitakuwa nimetoa fundisho kwa hawa mafisadi, hasa baba lao anaewabeba

"WHEN YOUR LIFE BECOME A BATTLEFIELD THEN, YOUR MIND BECOME THE BEST WEAPON"

That is your philosophy or slogan!!! just practice it to avoid the outrage against those animals!
 
Back
Top Bottom