Mwanahalisi na Raia Mwema ni magazeti ya ajabu kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanahalisi na Raia Mwema ni magazeti ya ajabu kabisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Mar 16, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,238
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Yaani nikisoma Mwanahalisi au Raia Mwema, napata uchungu sana.

  Inasikitisha na kushangaza jinsi hii serikali ya CCM ilivyo.

  Tanzania inaelekeo sipo.

  Nimesoma Mwanahalisi na Raia Mwema, nikakosa raha karibu masaa 2 na kila nikikumbuka mada zenyewe, natamani nikamate kiongozi nijilipue ili tufe wote.

  Maana nikimwondoa huyo kiongozi, nitakuwa nimetoa fundisho kwa hawa mafisadi, hasa baba lao anaewabeba
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mh mkuu kweli kabsa nimesoma mwanahasi mikataba ya jk na mwinyi kuifisi nchi na raia mwema hali ya nchi ni tete mh choka kabisa.
   
 3. k

  kayumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Heri yenu ambao mnapata bahati ya kujua yanayotokea katika nchi yetu!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamaa wanaweka mambo wazi, that is the trueth mkuu, ukweli unauma sana... Hutakiwi kujilipua mkuu tupambane mpaka kieleweke!
   
 5. S

  SUTU BUTUGURI Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijiue mkuu, kwani mapambano ndoo kwanza yanaanza. Kitaeleweka tu ...
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,902
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Wapambanaji tukijiuwa, Makamanda watakosa nguvu.. Tupambane sote kwa pamoja kujenga Nchi iliyo sawa, tuwang'owe Mafisadi.
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ukweli magazeti hayo, hasa Mwanahalisi linatisha. raia mwema sijalifuatilia sana, ila mwanahalisi wale jamaa hapana! ni balaaa! nashindwa hata cha kuwapa zaidi nawaombea tu wazidi kuibua habari za kiuchunguzi zaidi na kuweka hadharani
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,663
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  'msijiue bandugu, wewe na mimi ni muhimu sana katika mapambano. Kupungua kwako ni hasara kwa kikosi kazi. Pia tunataka na wao waonje machungu hapa hapa kwanza hayo mengine Mola atajua'
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  Mwanahalis ni gazet makin, pamoja hujuma za kutolisoma redion bdo linaongoza kwa mauzo, leo nimeshndwa kupata nakala yake, asubuh rfa wamekacha kulisoma.
   
 10. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,238
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Sawa, aluta continue.

  Watu wema hushinda na mafisadi watashindwa.

  Na Mungu atatusaidia
   
 11. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,779
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mwache ajilipue, kupotea kamanda mmoja kwa kuwasambaratisha mafisadi 30 utakuwa wewe ndio shujaa wetu, kwa kupiga domo tu mafisadidi wala hawajali.na ukizidisha domo lako watakulipuwa wewe.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,357
  Trophy Points: 280
  Nadhani tuendeleze mapambano tu mwisho wao upo karibu na tusiwe na mawazo ya kujiua!!
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,557
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  its true that lile gazeti mie nalifananisha na mtandao wa wk leaks. hakika linafichua kila uozo wa baadhi ya viongozi wetu.Ila yanapoonesha kuegemea a certain political part huwa yanapoteza mvuto. As a media hawatakiwi kuegemea upande wowote, wanatakiwa watoe aina yoyote ya uozo unaofanywa na yeyote hata kama siyo mwanasiasa.
   
 14. M

  Mzalendoo Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakuu hapo mme nena,wk ilo pita nlfanya utafit kw wauza magazet mjin arusha na karibia wote walisema hufurah sana inapofka jtano kwan huuza nakala nyng za mwanahals na raia mwema kulko magazt mengne. Mungu awape ujasir waandsh..
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Magazeti hayo yana waandishi makini sana na wamejitoa kikwelikweli.
   
 16. B

  Butuyu New Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magazeti haya yanaisaidia serikali kupata habari za viongozi na watumishi wanaoihujumu, ebu Mh. Rais yachukulie magazeti kama vyombo vyako vya kukusaidia kuongoza, Nina uhakika ukitafuta mawazo ya watu Kama Jenerali Ulimwengu ambao si washauli maslahi tutafika.
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  sitaaacha kulisoma..............
   
 18. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tuambieni basi na sisi ambao hatujafanikiwa kuona hiyo habari, inahusu nini au inasemaje? Ukianzisha mada ni vizuri ukatoa maelezo kwa kifupi ili tuchangie vizuri
   
 19. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jamani tupeni hata heading ambao hatupo tanzania maana nimeingia kwenye mtandao wa mwanahalisi hawaja update website yao na kuweka gazeti la leo
   
 20. p

  plawala JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba niwaambie tu wana JF ambao bado walikuwa hawajayajua vizuri waanze kuyanunua magazeti haya,Ria Mwema na Mwanahalisi
  sijawahai kukosa kopi zao kila wiki kwa miaka zaidi ya miwili except walipofungiaga mwanahalisi kwa siku 90
  yanatoka mara moja kwa wiki siku ya jumatano
  Nawaombea mungu awaepushe mbali na kila baya,jamaa ni wapiganaji wa kweli
  Kwa upiganaji mwanahalisi linaongoza!
   
Loading...