Elections 2010 Mwanahalisi: Makamba amtumia Mahimbo kukamilisha 'mradi' dhidi ya Slaa

sijui tumfanye nini mtu km makamba?................watz mnakubali nchi iendelee kuendeshwa kihuni hivi?..........mimi nasema no......
Mwanaume suruali huyu vipi, miaka 3 ndio linakurupuka leo baada ya kuingizwa mtegoni na CCM, CCM hawatakulinda na kukuweka hotelini siku zote za maisha yako soon wakimaliza kukutumia watakuacha na kwenye makabrasha yao wewe unasomeka kama expendable.
Utakufa kifo kibaya!
 
Ngoja niipitie sheria ya ndo ntakuja na majibu,maana kama for 3years hauko nae alafu leo unakurupuka uko uliko khaaa.
Alafu sidhani kama Dr anaweza ingia mkenge kilaini ivyoooo.
CCM naona wameishiwa hoja na ni wazi MOTO wa Slaa unawakosesha usingizi.
Au ikibidi Slaa arudiane na Mkewe wa zamani kama Ben alivyoshauriwa na Nyerere tuone CCM watasemaje?
 
Njaa mbaya sana...Hivi hafikirii athari wanazopata watoto na familia yake huyo cha pombe ? Kweli hakustahiki kuwa mume.
 
mwanaume huwa halii hivi huyu ni wa kiume

hana akili na anatumika tu kama tisssue!

atajibeba mwaka huu
 
Back
Top Bottom