MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Natarajia Polisi kumhoji Mhariri wa hili gazeti na asipohojiwa basi kila mtu ajiongeze kupata majibu.

Kwanini utarajie Polisi wamhoji Mhariri wa Gazeti linalomilikiwa na Mbunge wa Chadema na sio kwamba Mbowe, au Chadema kwa ujumla kumhoji mwenzenu? Hivi kweli mnataka majibu au mwataka kuisumbua polisi?

Nikupe mfano hai: umeripoti polisi kuwa mwanao amepotea. Wakati polisi wanaendelea na uchunguzi, mwanao mwingine anasema amemwona yule aliyepotea. Utawabana polisi au huyo mwanao alokwambia taarifa za aliyepotea?
 
Kuna siku nilisema kabisa kuwa tutashangaa tutakapomuona Ben akiwa hai. Ukweli ukizingatia kuwa alikuwa anatishiwa (tulivyosikia hapa Jf) na Makala yake ya mwisho hapa JF na yanayoendelea huko kwa wana pilato kunakotesa jehanamu ni lazima ajifiche. Hata ingekuwa mimi ningekimbia kabisa nchi kwa muda!!! Ni hatari sana.
 
Fakenews ishakuwa tatizo la kidunia.
Juzi hapa wakaandika fakenews kuwa waziri wa ulinzi wa israel ameionya pakstan kutopeleka askari wake syria kwa kisingizio chochote kile na ikifanya hivyo israel itailipua syria kwa nyuklia,

habari ni fake,sijui pakstan hawakujua kuwa ni fake,waziri wa ulinzi wa pakstan akajibu,hata wao wana silaha hizo za nyuklia.

Fakenews zinaweza kuleta madhara makubwa yasiyotarajiwa.

this is fakenews
 
Tunawaambia kila siku
Usishangae hata JF ipo kimya kuhusu member wake !!
Ajabu huyu jamaa inawezekana yupo humu humu akitumia Id nyingine
Ndio maana tunasema Mbowe anajua
Hizi ni kick zakipumbavu kweli!!!
Mjadala wa Huyu mtu ungefungwa tu
Maana hakuna lolote zaidi ya kucheza mchezo mchafu
 
Fakenews ishakuwa tatizo la kidunia.
Juzi hapa wakaandika fakenews kuwa waziri wa ulinzi wa israel ameionya pakstan kutopeleka askari wake syria kwa kisingizio chochote kile na ikifanya hivyo israel itailipua syria kwa nyuklia,

habari ni fake,sijui pakstan hawakujua kuwa ni fake,waziri wa ulinzi wa pakstan akajibu,hata wao wana silaha hizo za nyuklia.

Fakenews zinaweza kuleta madhara makubwa yasiyotarajiwa.

this is fakenews

Acha uvivu. Nenda kwenye tovuti ya Mwanahalisi utakuta habari hiyo. Tatizo sio fake news labda fake brains. Link hii hapa Utata mpya msaidizi wa Mbowe
 
Acha uvivu. Nenda kwenye tovuti ya Mwanahalisi utakuta habari hiyo. Tatizo sio fake news labda fake brains. Link hii hapa Utata mpya msaidizi wa Mbowe
kama alijiteka atakuwa kajimaliza kisiasa pamoja na lichama lake maana watu sikuhizi hawapendi ujinga.

Either ni fakenews bila kujali ziko ndani ya mwanahalisi au alikuwa kajiteka anaanda mazingira ya nitoke vipi
 
Fakenews ishakuwa tatizo la kidunia.
Juzi hapa wakaandika fakenews kuwa waziri wa ulinzi wa israel ameionya pakstan kutopeleka askari wake syria kwa kisingizio chochote kile na ikifanya hivyo israel itailipua syria kwa nyuklia,

habari ni fake,sijui pakstan hawakujua kuwa ni fake,waziri wa ulinzi wa pakstan akajibu,hata wao wana silaha hizo za nyuklia.

Fakenews zinaweza kuleta madhara makubwa yasiyotarajiwa.

this is fakenews
Elungata, mwenzako Salary Slip ameandika humu kuwa kajiridhisha kwa kuiona habari hii Mwanahalisi Online. Ingia huko kajiridhishe.

Nakumbuka jina lako liko kwenye kitabu cha kipelelezi cha Willy Gamba. Litendee haki!
 
Huyu jamaa akikamatwa inabidi akae ndani kwanza kwa usalama wake, wakati mahojiano yakiendelea.
 
Back
Top Bottom