Mwanahalisi imesalimu amri Kwa Zitto: Umbeya hauwezi kuzaa Ukweli

bigup mwanahalisi umeturudishia zito wetu dowans iptl epa richmond nk kimsingi hakuna gazet kama m halis
 
Kwa mtu makini hapa JF anaelewa kuwa kuna watu ambao ukiona majina yao kwenye post zao unawezakuitimisha kwa uhakika wa asilimia 99.99% bila kusoma post zao kuwa kilichoandikwa ni upuuzi mtupu e.g giniusbrain, john marwa, jennifer, mwadhiri etc. I do not take their post serious but I do read them only when I have sufficient in order to know how much they have improved their lowest level of reasoning.

Umemsahau Foxfaiza
 
Kuanzia mwezi December 2010 hadi mwezi wa march 2011 kulikua na vita kali ya maneno ya kimbea ya gazeti la Mwanahalisi kwa Mbunge Mzalendo Zitto Zuberi Kabwe! Mwanahalisi ilitoa kashifa nyingi kuwa Zitto anatumiwa na Usalama wa Taifa kuihujumu CDM,Mwanahalisi bila aibu na Mwandishi wake Kebenea ilishadadia mambo mengi juu ya Zitto kuwa anatumiwa na Mafisadi! Mwanahalisi ikafika mbali zaidi na kusema Zitto anaihama CDM,bila kujua au kutumiwa kwa fitina Gazeti la Tanzania Daima gazeti la Chadema nalo lili ingia mkumbo na kuanza umbea juu ya Zitto! Ndugu yangu Godbless Lema nae bila kuelewa siasa za majungu au alitumiwa nae aka anzisha umbea na ugomvi na Zitto! Watu wenye Ubongo wa Kuku hapa JF nao wakaingia mkenge na kuanza chuki na matusi mazito kwa Zitto! Lakini Zitto alitoa jibu moja tu "CDM nimetoka nayo mbali sana siwezi kuihujumu" leo hii Kazi inayofanyika na Mwanasiasa huyu kijana imeonesha ni mtu anaejua kujenga hoja na kuanzisha hoja bila jaziba papala kama wanasiasa wengine kama Lissu ambao hujenga hoja kwa jaziba na papara nyingi! Wengine walitabiri kuwa Zitto atafunikwa na akina Mnyika,Sugu na wengine kwa kujenga hoja! Lakini Zitto ni Mshare mrefu haufichiki kabisa! Zitto amekua mtu wa kutulia na kujenga hoja ambayo mara nyingi inakaa kwenye akili za Watanzania! Hapa JF miezi iliyopita kulikua na Ushabiki wa kumsifia sana Dr fulani lakini Zitto hakutishika na hilo amekua mwanasiasa makini mda wote! Wenye macho na akili wanaona sasa kazi anayo fanya Zitto Bungeni Kujenga CDM!
My Take: Tusikimbilie kumchukia mtu kwa Umbeya wa Mtu mwingine bila kupima ukweli halisi,Mwanahalisi imejivua nguo peupe kwa Umbea juu ya Zitto!
Name: John Marwa
Join Date : 25th May 2011

Posts : 57
Thanks: 1
Rep Power : 21
Thanked 7 Times in 7 Posts


Huyu ndio John Marwa kwa ufupi.
Source: Jamiiforum.
 
Gazeti baya pale linapoandika usiyopenda! Cha kujiuliza je hizo habari zina ukweli? Alafu nashangaa sana huu usemi wa kujadili issues na si watu! Uadilifu ni muhimu sana na unapoandikwa mwenendo wa kiongozi ingawa anatajwa sana lakini issues ndio zinafanya atajwe na wakati mwingine ni muendelezo tu wa uchafu wake.nafikiri itakuwa tatizo kama unaandikwa uongo.mfano kuandikwa sana habari za ndoa ya Dr slaa haikuwa tatizo maana ni kweli maadili yanaanzia ndani lakini tatizo letu ilikuwa ni jinsi ilivyokuwa inaandikwa kwa kupotosha.kama kuna habari ya uongo iliandikwa mwanahalisi wekeni hapa otherwise chuki binafsi tu,mangapi yaliogopwa kuandikwa yakaanikwa kule jamani? Mnajua mchango wa gazeti hili kwenye hili vuguvugu la mabadiliko?

Watu wananikosoa vizuri na wengine vibaya hata hata hapa JF,sijawahi kuwaona wabaya.Ukosoaji ni muhimu sana,lakini kwa vyombo vya habari ni bora vikatenda haki kwa jamii nasizitiza,magazeti ni muhimu mno katika kukuza demokrasia,na waandishi wengi wanafanya kazi katika mazingira magumu na hasa wale professionals,pia waandishi wazuri wanaangushwa na wale wachache ambao wanafanya kazi kama madalali na makuwadi wa unafiki,umbea,upotoshaji ili mradi wanalipwa ujira mdogo kutimiza azma hiyo. Ni lazima tuchukue tahadhari ikizingatiwa kuwa kuna waandishi ambao hawana uwezo ila wapo mjini tu kiujanja ujanja.Kuna waandishi ambao wanaandikiwa kitu cha kuandika kimaslahi zaidi.Hebu tufungue macho.We must also blame those who plant injurious stories, smear the image and assassinate the characters of others . It is disgraceful that some of these smear campaigns are sponsored by some public figures. We must uproot those poisonous fungi among us and the renegades who talk before they think!

Sijataja gazeti lolote,ila nimetoa angalizo.Tuendelee.....



Ben sikutegemea ww ukurupuke hivi but umeanika ya ndani ya moyo.Mwanahalisi unalidhalilisha hivyo pamoja na mchango wake kwa tanzania na hasa cdm!

Duh,kwanza sijalitaja Mwanahalisi popote.Nimeongelea magazeti in General.Mwanahalisi imetoa mchango kwa CDM? Tufikie mahala tuache kulipa fadhila vibaya,gazeti likitoa mchango katika harakati za mabadiliko itakuwa ni tiketi ya kufanya mambo yasiyofaa?Je tushabikie tu hata kama limeacha kufanya kazi kwa maslahi ya watanzania badala yake likatekeleza matakwa binafsi ya watu? Kuna magazeti ya aina hiyo yana siku zake ambazo ni Ijumaa,so natoa wito kwa Magazeti yote na vyombo vingine vya habari ambavyo vimejitahidi kuwaaminisha watanzania kuwa vinafanya bidii katika harakati za mabadiliko,viache sasa kutumiwa kwa maslahi ya watu binafsi
 
Mwanahalisi linafanya kazi kwa kanuni na sheria za vyombo habari huwa hawako kishabiki kama magazeti ya uhuru na mengine ya magamba wenyewe ukikosea wanakukosoa tena kwa evidence panapoitaji sifa wanakupa sasa wewe ulitaka kwenye mazuri wamkosoe wee endelea kusoma uhuru.
kwa kuongezea, sifa si habari!!!!! bali makosa, uzembe, vita, njaa majanga.....
 
Name: John Marwa
Join Date : 25th May 2011

Posts : 57
Thanks: 1
Rep Power : 21
Thanked 7 Times in 7 Posts


Huyu ndio John Marwa kwa ufupi.
Source: Jamiiforum.
katumwa huyooo... msome between the lines
 
Back
Top Bottom