nimeikuta hii kwenye website ya gazeti la mwanahalisi....sijui wadu mnasemaje? nahisi kama some sort of uchochezi vile!!
Kwa hali hii iliyotokea kwa MwanaHalisi, kitaalam inaitwa 'Defacing' yaani wamebadilisha 'index' file ya main website.
Huyo system administrator anayemanage hiyo server ya mwanahalisi website, hajaconfigure vizuri server yake. Defacing attack kwenye website hutokana na uzembe wa system administrator.
Wanachotakiwa hao mwanahalisi ni kubadilisha tu hiyo index file ya website yao kama ilivyo orginal hapo zamani. Basi watu tuone mtandao
na ile ya mwananchi vipi? wiki ya pili hii.

Kuna ushahidi wowote kuwa yanayotokea kwenye website za magazeti ni kazi ya mafisadi?
Hii ni kama kucheza ule mchezo wa watoto wa kombolela. Mtu akiamua kujificha kweli humpati. Wanadhani wanaweza kucheza na nguvu ya umma. Si ndio wenye nchi, na mwisho wa siku sisi ndio wenye maamuzi yanayohusu mustakabali wa nchi hii. Kufunga hizi websites does not help anything. Sana sana wanaongeza hasira zetu tu.
Naweza kuwasaidia... Lakini hawa nao wawe serious! Kubenea nadhani humlipi mwendesha tovuti yako au kama unamlipa basi unapoteza hela tu. Huyu aliyekufanyia hacking ni mbongo tena anayejua mianya ya kufanya hivyo.Kuna ushahidi wowote kuwa yanayotokea kwenye website za magazeti ni kazi ya mafisadi?
LoL...Kubenea usinilet down Najua wewe ni mjanja ask that guy in ICT to put the fresh copy of index page from possibly last backup.
good day