MwanaHalisi acheni ubabaishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaHalisi acheni ubabaishaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngongo, Jan 21, 2010.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Gazeti la MwanaHalisi toleo Na,172 tarehe 20 - 26 January,2010 kichwa cha habari "Mramba aingiza Meghji matatani" inapaswa kupuuzwa kwasababu haina ukweli wowote.

  Mwandishi wa habari hii Bwana Ezekiel Kamwanga katuletea habari bila kufanya utafiti wa kutosha,kuna mambo matatu makubwa ambayo nimeyaona hayajakaa vizuri.

  [1] Bwana Ezekiel kwa maksudi anajaribu kudanganya wasomaji wake kwamba General Tyre ilipata mkopo wa 10 bilion mwaka 2007 kitu ambacho si kweli hata kidogo.General Tyre ilipata mkopo wa u$ 10 milioni kutoka NSSF serekali ikiwa mdhamini mwaka 2005 hadi kufikia mwezi december 2005 fedha zote tayari zilikuwa zimeshaliwa.General Tyre ilijaribu kupata mkopo mwingine wa u$ 3 milion mwaka 2007 lakini hawakufanikiwa.

  [2]Aliyeidhinsha mkopo wa General Tyre ni B P Mramba wakati huo alikuwa waziri wa fedha Bi Z Maghji alikuwa waziri wa utali na malialisi.kwa lugha rahisi Bi Maghji kwenye hili dili la u$ 10 Milioni hakuhusika kabisa.

  [3]Mheshimiwa Z maghji alipokuwa waziri wa fedha alizuia mkopo mwingine wa u$ 3 milioni kwenda general Tyre ambao waziri mkuu wa wakati huo Mheshimiwa E Lowassa na waziri wa Viwanda,biashara na masoko Mheshimiwa B P Mramba walishinikiza zitolewe lakini Bi Maghji akisaidiwa kwa kiasi kikubwa na mkurugenzi wa viwanda Bi Pallangyo walikataa kutoa fedha hadi board na managemant ya General Tyre watakapotoa maelezo ya kina namna fedha za mwanzo [u$10 mil] zilivyotumika kitu ambacho kilishindikana kufanyika.Najua Mama meghji ana madhaifu yake lakini katika suala la General Tyre alisimama kidete na alikuwa akisikiliza na kuzingatia ushauri wa wataalamu.Mama Meghji aliweza kuzuia upotevu wa u$ 3 milioni kama angewasikiliza Mheshimiwa Lowassa na Mramba
  .
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kuna agenda gani hapa?
   
 3. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,440
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... Maadili ya uandishi wa habari naona yapo likizo kwa sasa. Mtu anaandika kile moyo wake unapenda kuandika bila kufanya uchunguzi wa kina na matokeo yake ni kuipotosha jamii. Maadili ya uandishi yazingatiwe jamani.
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mwanahalisi walishapoteza uhalali wa kuwa respected pale walipoanza personal attacks badala ya ethical journalism... kibaya zaidi ni kuleta mambo ya bar bila critique yoyote... accounts za gazeti hili zitaendelea kukauka hadi mtakapokua
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu kwa sababu Tanzania ni zaidi ya uijuavyo na huyu mama yupo on records akiitetea kagoda, ambayo baadaye alikuja kugundulishwa ni bomu si vibaya to think in either avenue!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hili gazeti la ''m-bunge mtarajiwa wa mafia'' limeanza kudoda kiaina!baada ya kumuelewa kubenea anachokitaka serikali imem-fix

  NJAA MBAYA SANA WAZEE!
   
 7. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ngongo umesema kweli Mwanahalisi hawakufanya utafiti kabla ya kuchapisha habari,hili ni tatizo la vyombo vingi vya habari Tanzania.
  Nakumbuka mama Mehji alikuja general na mama mmoja wa makamu alimtolea uvivu Meneja mkuu devendra ambae alikuwa na uhusiano wa karibu na ex-waziri mkuu ngoyai na Mramba.

  Meghji alikuwa tayari kutoa tsh 3.96 bilioni kwa masharti ya kupata audit report ya CAG lakini wakubwa hawakuta ukaguzi ufanyike.
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nyinyi nyote mtu mmoja, sasa mbona hamtuelezi kwa kina ukweli wenyewe ni upi ambao tunapaswa kuuamini.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Usiwatishe watu kwa ugeni au namba zao za posts aisee, ina maana wewe kweli huoni time vs. events vs. personnel waliohusika na historia ya hiyo GT saga?

  C'mon nguvumali aka malinguvu unashindwa kabisa kujibu hoja na kuanza kupanga watu kwa mafungu??

  vitu viko wazi na namna ambavyo everyone ameplay role yake... natamani kama tungekua tunapata access ya arusha times huku kwenye mtandao, arusha time ni one of the best newspaper in this country
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwanahalisi huwa ni personal attacker tu. Ukisoma habari zake na vichwa vya habari haviendani unadhani gazeti la udaku, na nafikiri ni la udaku.
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Forgive me guyz!! I Always feel hurted when I read corruption issues!! Could anyone Answer me This.
  1.Is there anyone who have been held responsible for the loss of this money!
  2.Is there any investigation going on for this case?

  If the above answer is no. then sijui Tanzania inaelekea wapi??
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako nguvumali,

  Ipo thread ya General Tyre imeshajadiliwa sana hapa jamvini aliyeianzisha ni Morani75 kama utataka kupata habari yote kwa kinaa tafuata hii habari.

  General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hakuna chochote, sanasana ndio tunawatandikia mazulia wakija majimboni na kuwalamba miguu... sometimes we need snipers in this country.. if the sniper shoots two or four of them then they will get scared and stop this stealing
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huu ni mwaka wa uchaguzi ambao ni mavuno kwa waganga wa kienyeji, waandishi wa habari na reportes, editors ndiyo usiseme, na owners wa vyombo hivyo bila kuwasahau wapiga debe!!!!! Kama nime offend mtu hapa niwie radhi.
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Mlachake,

  Hakuna mtu hata mmoja aliechukuliwa hatua za kisheria.Kila nikimwona Mheshimiwa W shelukindo akiwashikia bango wenzake kwa kale kaulaji ka Richadimonduli uwa namshangaa na kujiuliza maswali mengi bila majibu.mheshimiwa Shelukindo alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi kwa zaidi ya miaka kumi na tano,kipindi cha mkopo wa tsh 13.2 bilioni General Tyre hapakuwa na ukaguzi kwa miaka 3 mfululuzo.

  Hakuna uchunguzi mkuu wangu,wakubwa J Kapuya wametengeneza dili lao la kampuni ya ulinzi baada ya wafanyakazi zaidi ya 300 kuachishwa kazi.Hii ndio Tanzania.

  Tanzania inaelekea tusikojua wakulaumiwa ni sisi wenyewe tuliokubali kuwapa dhamana majambazi
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  swala la msingi hapa si Shelukindo kafanya nini, wote wanaohusika na kuingiza taifa hasara wawajibishwe mara moja, sasa hayo mambo sijui ukimuona anashikia bango mafisadi halitusaidii, kama nae fisadi mshikie bango ukija na uthibitisho, dhambi ni dhambi tu.
   
 17. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inawezekanaikawa kuna issue amechanganya kwenye story hii, Lakini kiukweli mwanahalisi bado yuko kwenye kiwango hajatetereka na gazeti lake linauzika na kazi ya kufichua dili chafu alizokwashafanya are still highly appreciated.
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Code:
  
  
  Wewe bana acha kutuletea longolongo hapa, mwandishi amesema kabisa ana barua za mawasiliano kati ya EL na na Bazil Mramba zinavyoonyesha jinsi mikakati ya dili ilivyokwenda pamoja na tarehe za 2007 wewe unaleta longolongo humu. Umetumwa umsafishe Lowassa nini?
   
 19. m

  msabato masalia Senior Member

  #19
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wizi wa mali ya umma imekuwa kama amri ya 11 ya Mungu tanzania.Tutakuja pigana mawe siku moja. We subiri.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Huelewi usemacho.....pole sana!
   
Loading...