Mwanahabari na Mchambuzi wa Soka nchini Saleh Ally ( Salehe Jembe ) ana maana gani kuweka hii taarifa na Picha ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera?

Na Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?
Ni ujinga tu,kuna kocha alikuwepo Yanga simkumbuki jina ila ni mserbia alikuwa anavaa shati moja tu la blue msimu mzima,alipoulizwa akasema ndiyo nguo ya bahati kwako,so kila mtu anamaamuzi yake ila Tz umbea mwingi
 
Na Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?
Kumbe umeelewa kamaanisha nn mkuu
 
Back
Top Bottom