Mwanahabari na icon ya wanawake wenye uthubutu "Mboni Masimba" kujiunga na CCM

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
652
441
Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Kabla ya Hapo alikuwa wapi? kama halikuwa hana chama hii cyo NEWS!:der:
 
Mbadilike ndugu zangu sasa mnaonekana mu wabinafsi mpaka mnakera.Yaani mtu maarufu akijiunga CCM kama ni mwanamke tayari hamkawii kumzushia kuwa ni chakula cha akina flani lakini angejiunga na Chadema ungeanza kumsifia kama unavyomsifia Joyce Kiria leo hii ila ngoja Bi Joyce naye ahame Chadema nina uhakika kasoro zake ndio mtaziona siku hiyo.To add,Hata Chadema Makada wanawake wanagegedwa sana na Viongozi wakuu au mmesamhau Mh Joyce Mukya?Na Grace Kiwelu je?Tufanye siasa za hoja tuachane na siasa za kuchafuana kwasababu hazijengi.Machafu yanayofanywa na MaCCM na hata Viongozi wa Chadema wanayafanya hayo hayo na ndio maana baadhi yetu haitatokea tukawaunga mkono baadhi ya Viongozi Chadema kwasababu kitabia na kimienendo hawana tofauti kabisa na hawa tunaowachukia wa CCM
 
Kamanda nafikiri umetoa ujumbe muhimu kwa bavicha wenzako ambao ni kama mawe yakigeuzwa kulia yanabaki hivyo hivyo mpaka kiama.

Chadema kuna upungufu mkubwa wa wanachama wanaofikiri sawasawa. Ndugu yangu TECH WIZ unakazi ya ziada ya kuwaelimisha navicha wenzako kuacha ububusa.
 
Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Mtu makini,aliye fikiri na kutathmini kwa muda mrefu juu ya hali ya siasa nchini kamwe hawezi kujiunga na ccm kwa sababu ni lazima angejiuliza kwanza je kuna mabadiliko yaliyo fanywa na ccm kiasi cha kuridhisha watanzania?na je kama mabadiliko hayo yatapatikana wapi?UN LESS AJIUNGE NA LB7
 
na mimi nikijiuunga na ccm mtanifanyia mapokezi na hafla?
Chama cha mapinduzi hakina ubaguzi, kila mwanachama anatendewa sawa na mwingine. Sio kama jamaa zetu ambao ukiwa mwanachama kutoka kaskazini unapata mgao wa ruzuku ukitoka magharib au kusini huna chako.
 
Mtu makini,aliye fikiri na kutathmini kwa muda mrefu juu ya hali ya siasa nchini kamwe hawezi kujiunga na ccm kwa sababu ni lazima angejiuliza kwanza je kuna mabadiliko yaliyo fanywa na ccm kiasi cha kuridhisha watanzania?na je kama mabadiliko hayo yatapatikana wapi?UN LESS AJIUNGE NA LB7
Kwa hali ilivyo sasa hata mtu asiye na degree na elimu ya uchambuzi na tafiti anaweza kuona wazi kuwa wapinzani wakiwa wamepoteza mwelekeo na kwamba nguvu yao inatokana na familia na kabila fulani.
Hivyo kwa mtu aliye makini, CCM hakina mpinzani.
 
Kama ndio yule anarmendesha kipindi cha kipuuzi vile mchukueni bure. Ni miongoni mwa vipindi ambavyo navichukia kupata maelezo simply because hakina cha maana eti mnaulizana, ulishatembea na wanawake/wanaume wangapi!!!
 
Back
Top Bottom