Mwanahabari Musiba kulipiwa Mahari ya kuolea mke ma Rais mstaafu ina maana kubwa sana katika Ulimwengu wa roho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Ninawakumbusha tu wanaccm wenzangu ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka. Tatizo siyo mahari au kulipiwa mahari bali utii halisi ulipolalia wahenga walisema Awali ni awali hakuna awali MBOVU.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
 
mkuu umenena kwa lugha, jaribu kufafanua kidogo linawezekana vipi jambo kama hilo kutokea hapa kwetu!
 
waelewa wa ulimwengu wa kiroho naomba mnifafanulie kidogo kuhusu ulimwengu huo....maana kila mtu anayekuja na stori zake anasema anaonyeshwa au anapambana(ana vita kubwa) sana kwenye ulimwengu wa kiroho lkn anaishia kufeli je hakuliona hilo kwenye ulimwengu wa kiroho....Au ndo njia ya kutuaminisha mawazo yao tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom