Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

IMG_3212.JPG
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

Eti ukiwa na cheti cha AIRFAIR&TICKETING WITH TOUR GUIDING OPERATION cha short course unaweza kuapply diploma ya UALIMU,IT NA ACCOUNTING? Au ni dploma gani naweza kuapply?msaada tafadhalini..Asanteni🙏
 
Ni ngumu kuaply kitu tofauti kwakutumia cheti kisicho ma uhusiano na taaluma mpya unayotaka kusomea.
Nashauri utumie cheti cha elimu inayofahamika (CSEE & ACSEE) kuomba kitu kimya
Eti ukiwa na cheti cha AIRFAIR&TICKETING WITH TOUR GUIDING OPERATION cha short course unaweza kuapply diploma ya UALIMU,IT NA ACCOUNTING? Au ni dploma gani naweza kuapply?msaada tafadhalini..Asanteni
 
-NAOMBENI MSAADA WAKUU...
Magnesium will displace copper from copper (II) sulphate solution according to the equation,
CuSO₄(aq)+Mg(s)--->Cu(s)+MgSO₄(aq)
When excess of magnesium was added to 100cm³ of 0.1moldm⁻³ Copper(II) Sulphate,The temperature increased by 46.3ºC.It is known that The density and specific Heat capacity of the solution are 1gcm⁻³ and 4.18JgºC⁻¹ respectively,Calculate
i)The molar Enthalpy Change for the reaction
ii)Minimum quantity of magnesium required
iii)The change in Temperature if only 0.8g og Mg was added
 
sauti ya radi ilisikika sekunde ya 10 baada ya mwanga wa radi , tafuta umbali wa mawingu ikiwa speed ya sauti hewani ni 340m/s na speed ya mwanga ni 300000000m/s .
Consider,
Let the distance be d
''Since they were both started at the same time'' let T be the time taken by light
V=d/t....(since v is uniform)
For light
C₀=d/T
T=d/C₀...1
For sound
V=d/(T+10s)
(T+10s)=d/V
T=d/V -10s .....2
equate eqn 1 and 2
d/V -10s=d/C₀
d(1/V-1/C₀)=10
d=(10xC₀V)/(C₀-V)
d=3400.003853m
 
Consider,
Let the distance be d
''Since they were both started at the same time'' let T be the time taken by light
V=d/t....(since v is uniform)
For light
C₀=d/T
T=d/C₀...1
For sound
V=d/(T+10s)
(T+10s)=d/V
T=d/V -10s .....2
equate eqn 1 and 2
d/V -10s=d/C₀
d(1/V-1/C₀)=10
d=(10xC₀V)/(C₀-V)
d=3400.003853m
asante mkuu
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom