Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 650
- 534
Because hot food has vapours which stimulate taste and smell cells easilyBrother NAOMBA UNISAIDIE
Et why hot food has lather than cold food?
Sent using Jamii Forums mobile app
Because hot food has vapours which stimulate taste and smell cells easilyBrother NAOMBA UNISAIDIE
Et why hot food has lather than cold food?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wa Physics, Chemistry and Mathematics naomba msaada.
Mwanangu anaesoma pre-form five amepewa list ya vitabu anunue lakini kwa upande uwezo mdogo hivyo nataka kununua kimoja katika kila somo. Niambieni kitabu kizuri katika kila somo.
PHYSICS:
1. Nelkon
2. Tom Duncan
3. Chandi
4. Roger Munchestel
CHEMISTRY:
1. Abort
2. Ramsdern
3. Chandi
MATHEMATICS:
1. Pure Maths 1&2
2. Core Maths
3. Chandi
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Mapinduzi ya Zanzibar yaliongozwa na John Okello. Avoid Karume hakuhusika moja kwa moja kwenye mapinduzi isipokuwa mwalimu Nyerere alimweka madarakani baada ya zoezi la kumpindua sultani likiwa limekamilika.1.Nani alifanya mapinduzi ya zanziber..je ni John Okello au Abeid Karume? (ufafanuzi wa kina)
2.nitajie baraza la kwanza baada ya mapinduzi
1. Ni kwa jinsi gani ufaransa ilihusika kwenye mauaji ya halaiki ya Rwanda ( Rwanda Genocide) ya mwaka 1994 ?history njoo kwangu
Mkuu Khan asante kwa ushauri.
how plate tectonic theory show distribution of earthquakes in the worldKwa maswali ya geograph
Ivi robot ni capital au labour?Kwa bookeeping na commerce form 1-6 nitajibu. Accounting profesional from diploma upto 1st bachelor tutapeana mawazo/maoni/discusion n.k.
Hee tabuPembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'
Sio Masai tu hata wachaga hawakuuzwa kama watumwaWhy masai society does not involved in slave trade?
hiyo asset (mashine) kama ilivyo forklift truck.Ivi robot ni capital au labour?
Je na kama ni kimoja kati yao naomba ufafanuzi please comrade
Mkuu sorry, ningependa kujua ety mjasus ni mtu gan?Naona hapa kama hakuna walimu kabisa.maana full kuchapia tu.kwa somo la kiswahili sekondari nione mim hapa.