Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Jamani naomben kusaidiwa je mtu anaeza rudia mtihan wa form 6 kwa masomo mawili chemistry na geography na taratibu ziko vipi naomb msaada wana jamvi
 
Wakuu naomba msaada wa swali la pili hapo. Density of mixture..
Thanks.
IMG_20180905_094030.jpg
 
katika kiswahili kuna alfaberti mbili ni zipi hizo wakuu? msada!
Kiswahili kama lugha hakina alfabeti mbili tu. Labda useme kwamba alfabeti za Kiswahili zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Konsonanti na Irabu.

Irabu zipo tano na Konsonanti zipo zaidi ya 19
 
N vitu gan vya msingi ukihitaji kuomba scholarship baada ya kumaliza form six.... Tafadhal naomben msaada
Tafuta pass port, ukipata anza kutafuta hizo scholarship ila ushauri jitahidi ufanye degree ya kwanza hapa nyumbani alafu masters ndio utafute scholarship maana scholarship za degree ya Kwanzaa si nyingi sana Kama degree ya pili
 
Naombeni ushauri kuna mdogo wangu kamaliza kidato cha nne na ana ufaulu wa kiswahil D, English C, Na History D. Je anaweza kujiunga na chuo kwa alama hizi alizopata.
 
Naombeni ushauri kuna mdogo wangu kamaliza kidato cha nne na ana ufaulu wa kiswahil D, English C, Na History D. Je anaweza kujiunga na chuo kwa alama hizi alizopata.
Kiongozi jarbu kufuatilia kwenye OPEN UNIVERSITY...Naic anaweza jiunga ..lkn kwanza nenda kwenye ofisi zao wakueleweshe ..wako Tanzania nzima.karbu
 
Naomba kuuliza, stashahada maalumu ya ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati ambayo hutolewa muda wa miaka 3 ajira zake ni kufundisha ngazi zipi kati ya sekondari au msingi coz mdogo wang kachaguliwa kuisoma iyo program
 
Naombeni msaada wa swali hili

Toa mifano ya misimu iliyozuka katika vipindi vifuatavyo; njaa ya mwaka 1975-1979, pia njaa ya 1998-1999, muda mfupi baada ya kupata uhuru, miaka ya vita vya kagera, kipindi cha hali ngumu ya maisha baada ya vita vya kagera
 
Back
Top Bottom