Silas Mnandi
New Member
- Jan 26, 2018
- 2
- 0
Sorry jamani nipo field shule niliopo hamna vitabu naomba mwenye soft copy ya statistics geography form 3 anitumie, mnandisilas@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia play store na tafuta app inaitwa Bet eSkonga. Itakusaidia.Sorry jamani nipo field shule niliopo hamna vitabu naomba mwenye soft copy ya statistics geography form 3 anitumie, mnandisilas@gmail.com
mi nikajua wote hawa ni wakemia auBsc in chemistry na lab science zte kali kiongozi japo mkemia ana uwanja mpana kulko nyingne izo
Zipo hila formula zinabadilika kutokana na practical yenyewe,Nilikuwa nauliza kwamba kuna formula za kuforge data katika practical za umeme o level?
ahsante sana. ikitokea umepata zote ni ipi utaichagua kati ya hizi mbili kiongozi
unasoma shule ipi Silas!Sorry jamani nipo field shule niliopo hamna vitabu naomba mwenye soft copy ya statistics geography form 3 anitumie, mnandisilas@gmail.com
Mfano ile practical ya ohms lawZipo hila formula zinabadilika kutokana na practical yenyewe,
Ni kweli mwanafunzi yoyote anaetoka o level na kwenda chuo anaanza certificate ata kam uwe umepata daraja la kwanza mkuu isipokuwa kama ulipita advance bahat mbaya ukaharibu ndio unaanza diplomaNAOMBA UFAFANUZ NINA UFAULU WA DIV TWO O'LEVEL MASOMO YA ARTS NA NILICHUKUA NA COMMERCE NATAKA NIENDE DIPLOMA ILA WAPO WANAO NIAMBIA APO NI CERTIFICATE SIO DIPLOMA NOMBEN UFAFANUZ WALIMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Poanimeelewa mkuu.
Hili swali aliyelitunga haliko vizuri na kama kweli anapima wanachuo ni poor item.Distinguish the relevance of psychology and history to sociology?