Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Madam Mwajuma

JF-Expert Member
Sep 13, 2014
7,050
6,690
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana, hasa kidato cha 5 au chini ya hapo, pia wanavyuo.

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema katika masomo yao kwa wenye nia njema. Jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu, tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi natupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na w

ataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom