Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Hello. Wanajukaa natumai wote ni wazimaa wa afya, mimi ni mwanafunzi nasomea BD in wildlife management, kunaswali hilo tumepewa nahitaji ufafanuzi namna yakulifanya
Screenshot_20240203-064439.jpg
 
Hello I hope your doing well I was asking for anyone who can help me giving me some information about petroleum chemistry including working fields and other projects
 
Kati ya Yai na Kuku,
Kipi kilianza kuwepo duniani?
Kuku alianza..kuku ndio kiumbe na yai ili liwe kuku lazima kuku alitamie iyo kisayansi

Kidini pia kama MUNGU alimuumba Adam hakuumba mimba basi na pia aliumba kuku hakuumba yai.

Kitu katika full developed form kinaweza kabili mazingira tofauti na MUNGU labda angeumba mtoto mchanga angeishi vipi dunuani au yai lingetotoa vipi bila mama.
 
Wakuu nnaomba ujuzi wa namna ya kuweka ramani ya study area..Napata shida namna ya ku produce ramani ya Kata ya Dakawa, Mvomero kwa vijiji vya Wami Sokoine, Wami Luhindo, Wami Dakawa, Milama na Kwamuhunzi. Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom