Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nzasa achomwa kisu na kufariki akigombania mwanamke

Papuchi wee cha tu,ina sumu mbaya sana haina mfano
Kuna watu wanalaumu kuhusu huyu dogo ila watoto wa kike si wawazi form 4 ni mtu mzima kabisa anahisia zake kabisa .....sijapenda reaction ya kuchomwa kisu maana.hata wapondaj huku ni wachepukaj tu kama wengine tu
 
Kuna watu wanalaumu kuhusu huyu dogo ila watoto wa kike si wawazi form 4 ni mtu mzima kabisa anahisia zake kabisa .....sijapenda reaction ya kuchomwa kisu maana.hata wapondaj huku ni wachepukaj tu kama wengine tu
Duuuu yaani unabariki wanafunzi wajihusishe tu mapenzi,,,,, na masomo jee au siku hizi mshika mawili hakuna linalomponyoka
 
Kitu na ambcho nilishaapa na nitaendelea kuapa ni kugombea mwanamke hata kama nampenda vip "let her go"
Ni kweli mkuu ila kuna wengine huwa na mawaz kama yako ila inakuja kutokea mrembo alie nae kumbe ana lijamaa lingine bila kujua, inafika siku ya siku unashangaa jamaa anakuvamia na kukupa mabanzi huku akikuambia umemuibia demu kumbe wala wewe ulikuwa unajua ni wako pekee...kwa kujitetea kwa kuwa hutaki ugonvi unasepa bado anakufuata na kukupiga mwisho wa siku lazima utakuwa unarudishia kujihami (WANANZENGO TUTATAFSIRI KWAMBA MNAGOMBEA DEMU KUMBE WEWE WALA HUKUWA NA HIYO ISSUE YA KUGOMBEA DEMU)
 
"Nasema hivi Hutu demu ni wa kwanguuu!!!... Aaaah!! Wapi huyu demu si wa kwako ....ona hivi sasa ana mimba yangu...hapana nakataaa hawezi kuwa na mimba ya kwako"

RIP Ngwea
RIP Denti.
 
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Nzasa amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni kwa kisa kinachodaiwa kugombea mwanamke.

Mwanafunzi huyo Ashiri Musa ambae alikua anasoma kidato cha nne shule ya sekondari Nzasa alikutwa na tukio hilo jana majira ya usiku ambapo alichoma kisu shingoni na kupekea kuvuja damu nyingi ambazo zilipelekea kifo chake papohapo.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Temeke alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa wa tukio hilo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi zaidi.


Mbagala hiyo !
 
Amepata haki yake, badala ya kufanya NECTA yeye anawanza mapenzi kama vijana wa UV-CCM.
Watu wengine hovyo sana.. Badala ya kuzungumzia uzi unapeleka mambo ya vyama.. Yaani akili yako imegonga mwamba kabisa mpk uje na mambo ya hovyo huku...
 
Back
Top Bottom