Mwanafunzi wa Expansion joint aachiwa kwa dhamana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,766
155,480
Kijana Kumbusho Dawson Kagine Amekamatwa kwa kosa la kutuma PICHA za hosteli za Magufuli za UDSM. Yupo kituo cha Polisi UDSM na anapelekwa Central!

UPDATE
Baada ya Kijana Kumbusho Dawson Kagine kukamatwa kwa kosa la kutuma PICHA za hosteli za Magufuli za UDSM. Yupo kituo cha Polisi UDSM na akupelekwa Central!
hatimaye ameachiwa kwa dhamana.
DQLqCivX4AEqx7P.jpg

Hivi nikitaka kufichua uovu nikafichulie wapi ili nisikamatwe?
 
nenda stationery isiyo na cctv fungua ID mpya upload mapicha kisha wa tag watu unao taka log out futa history kwenye hicho kifaa kisha subiri muitikio wa jamii.
 
nenda stationery isiyo na cctv fungua ID mpya upload mapicha kisha wa tag watu unao taka log out futa history kwenye hicho kifaa kisha subiri muitikio wa jamii.
Eeeh hi sasa hatari mura!
Yaani unataka kuchinja kuku wako mwenyewe unaogopa kumkamata kisa jirani atakuona!

Kwani magufuli hajasoma kitabu cha mwalimu Nyerere "TUJISAHIHISHE"?
 
Eeeh hi sasa hatari mura!
Yaani unataka kuchinja kuku wako mwenyewe unaogopa kumkamata kisa jirani atakuona!

Kwani magufuli hajasoma kitabu cha mwalimu Nyerere "TUJISAHIHISHE"?
asingekuwa anatusumbua namna hii
hajasoma hicho
atakuwa alikuwa anasoma vile vya kina dikteta hitler
 
Back
Top Bottom