Mwanafunzi wa chuo kusoma miaka 3 bila kugoma ni dalili kuwa huelewi masomo au unaelewa kwa kukariri tu.

nasikia siku hizi hapo mlimani hata 'mzee incognito' hayupo tena, yaani aisha salitiwa..................
kunji lilikuwa na raha yakee............
hata mzee PUNCH naye siku hizi hamna shida tupu
 
Kizazi cha watoto lainilaini, mtoto miaka 18 yupo chuo atagoma nini huyu..... wengi wao wanatokea St nani et al hawajawahi hata kudoji prepo.
Migomo ilikuwa inaratibiwa na vichwa kutoka shule kongwe zile ambazo tangu huko sekondari migomo plus mateso kwa Form One..... hii ishu ya kupeleka wahitimu JKT kabla ya kuingia chuo ni moja ya mikakati iliyoua MIGOMO.
 
Siku hizi pale UDSM wanajaa watoto wa Marian na the like, vijana wa Mzumbe sijui Tabora ufaulu duni wanaishia St Joseph nani atagoma.... nyakati zimebadilika hata watumishi ambao ni product laini hawagomi tena wala kuandamana.
 
Back
Top Bottom