Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala auawa kwa kupigwa risasi na mlinzi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,790
4,430
Polisi wa huko Jinja wanachunguza tukio la walinzi wa usalama kumpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kampala, tawi la Jinja.

Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Isaac Katagwa aliyekuwa akisoma Shahada Usimamizi wa Hoteli, utalii na burudani alipigwa risasi ya mgongoni na kufa papo hapo usiku wa jumatano.

Aidha, Mwanafunzi mmoja ambaye alitaka jina lake lisijulikane alisema kuwa alisikia mlio wa risasi mida ya 2: 45 usiku alikimbia ndipo alipouona mwili wa mwanafunzi huyo ukiwa chini.

"Baada ya kusikia milio ya bunduki, wanafunzi wote mimi nikiwamo walikimbia katika uwanja maalumu wa usalama ndipo walipoukuta mwenzao huyo katika maeneo hayo" alisema.

Kwa upande mwingine, wafanyakazi ambao pia hawakutaka majina yao yajulikane walieleza walisikia majibizano makali kati ya mwanafunzi na mlinzi huyo kabla ya risasi kupigwa.

Timu ya Maafisa wa polisi waliofika katika chuo hicho kwa amri ya Kamanda wa Polisi wa Jinja, ambao waliwafukuza wanafunzi na waandishi wa habari kwa madai wanazuia upelelezi katika eneo la uhalifu.

Mwili wa marehemu ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Jinja kwa ajili mazishi baadaye. Aidha, Mlinzi huyo anashikiliwa na polisi huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea.

1575523649087.png

ZAIDI SOMA:
Police in Jinja are investigating circumstances under which a security guard attached to Star React Security Guard Limited shot dead a third year student of Kampala University, Jinja branch.

The deceased identified as Isaac Katagwa who has been pursuing a Bachelor’s degree in hotel management, tourism and leisure was shot through his back at close range and died instantly on Wednesday night.

A student who spoke to this reporter on condition of anonymity said that she heard a gunshot at around 08.45pm and ran towards the administration block only to find Katagwa’s lifeless body lying on the ground.

“After hearing the gunshot sound, all students including me ran to the administration block for refuge only to find our colleague’s lifeless body lying on the ground,” she said.

A staff who preferred anonymity so as to speak freely said the deceased had a heated argument with the guard before the shooting.

“This is an institution of adults where all staff and students are treated with respect. As the two individuals kept on arguing, we played it cool only to hear a gunshot later,” he said.

A team of scene of crime officers that dashed to the university under the command of Jinja Central Police Commander, Mr Godwin Ochaku chased away journalists, students and their lecturers from the premises accusing them of messing up the crime scene.

The deceased’s body was taken to Jinja Regional Referral Hospital mortuary for post-mortem. The suspect is currently locked up at Jinja central police station as investigations continue.

Chanzo: Daily Monitor
 
1575534042909.png

Mlinzi huyo anafanya kazi na taasisi ya Ulinzi ya Star React Security Guard Limited na Mwanafunzi aliyeuawa ni Isaac Katagwa

Isaac alikuwa Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 akisomea Shahada ya Kwanza katika Usimamizi wa Hoteli na Utalii ameuawa mnamo saa 2:45 usiku

Imeelezwa kuwa kabla ya mauaji hayo Mwanafunzi na Mlinzi huyo walikuwa kwenye mzozo mkali katika eneo la Jengo la Utawala wa Chuo hicho

Mlinzi huyo amekamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Jinja ili kupisha uchunguzi dhidi yake

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya Jinja kwa ajili ya uchunguzi

=======

Police in Jinja is investigating circumstances under which a security guard attached to Star React Security Guard Limited shot dead a third-year student of Kampala University, Jinja branch.

The deceased identified as Isaac Katagwa who has been pursuing a Bachelor’s degree in hotel management, tourism and leisure was shot through his back at close range and died instantly on Wednesday night.

A student who spoke to this reporter on condition of anonymity said that she heard a gunshot at around 08.45 pm and ran towards the administration block only to find Katagwa’s lifeless body lying on the ground.

“After hearing the gunshot sound, all students including me ran to the administration block for refuge only to find our colleague’s lifeless body lying on the ground,” she said.

A staff who preferred anonymity so as to speak freely said the deceased had a heated argument with the guard before the shooting.

“This is an institution of adults where all staff and students are treated with respect. As the two individuals kept on arguing, we played it cool only to hear a gunshot later,” he said.

A team of the scene of crime officers that dashed to the university under the command of Jinja Central Police Commander, Mr Godwin Ochaku chased away journalists, students and their lecturers from the premises accusing them of messing up the crime scene.

The deceased’s body was taken to Jinja Regional Referral Hospital mortuary for post-mortem. The suspect is currently locked up at Jinja central police station as investigations continue.

Additional reporting by URN
 
Back
Top Bottom