MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,207
- 2,387
Mi naona ni lishamba sana!aliniacha mdomo wazi kwa mshangao ni wewe....wewe sio mshamba tu ni zaidi ya mshamba.
Mi naona ni lishamba sana!aliniacha mdomo wazi kwa mshangao ni wewe....wewe sio mshamba tu ni zaidi ya mshamba.
Unaujua muda wa ziada wewe we kweli zwazwa aya husisha ulichojibu na kusisha na mwanafunzi kwahiyo mwanachuo yupo room kapunzika asome mitabu, anasubili lecture mtabu, anapunga upepo mtabu yaani unaandika uzwazwa tumimi ni system administrator. muda wangu wa ziada nautumia kusoma vitabu na kwenda klabu.
FalaHeeee unasema? Unanunua play station kucheza katuni za FIFA? You cant be serious young man, are you CRAZY?
Kwani anayepiga gym, mpila nk achezi game wewe mbona akili yako aina akili.Nilitarajia kuwaona labda wakicheza mpira, wakifanya jogging au wakiwa gym wanapiga mazoezi badala ya kushiriki michezo ya kitoto na isiyokuwa na tija katika ustawi wa afya zao za kimwili na kiakili.
uyu jamaa aliniuzi sana.tpaul vipi ushambaa huu ushakutoka au???
Du! hata kama ni kukua kwa utandawazi, hii ni ngumu kumeza aisee!Leo asubuhi nimetembelea kule hosteli nikakutana na kituko kilichoniacha kinywa wazi.
Eti nimemkuta mwanafunzi wa Chuo Kikuu akicheza gemu kwenye kompyuta! Tumezoea kuwaona watoto wa chekechea wakiwa wamejazana kwenye mabanda wakicheza gemu lakini ni ajabu mwanafunzi wa Chuo Kikuu kumkamua mzaziwe fedha ili anunue laptop ya kuchezea gemu. Inasikitisha sana.
Na wakati huohuo uelewe kwamba mwanafunzi huyu amepata mkopo kwa 100% wakati kuna wenzake wamepata 0% au wamekosa kabisa nafasi ya masomo. Hata kama analipiwa na mzaziwe ni kwanini asimuonee huruma mshua wake kwa kujikamua fedha za kugharamia masomo yake?
Haya ndio matokeo ya Shule za Kata ambazo huwajaza ujinga wanafunzi hadi wanafika Chuo Kikuu wakiwa bado hawajitambui. Mwanafunzi huyu ni zao la shule za kata zilizobuniwa na serikali tukufu inayoongozwa na Profesa JK.
:yield:
Upo kwenye dunia yako peke yako......gaming ni industry kubwa sanaDu! hata kama ni kukua kwa utandawazi, hii ni ngumu kumeza aisee!
Nyie ndo wale wasongo mliotumwa na kijiji...kwani akicheza game ndo umeambiwa hasomi??Kivipi mkuu? Sasa ndio mwanafunzi wa Chuo Kikuu acheze game kwa sababu hizi badala ya kutumia muda wake vizuri kujisomea?