Maskini na mtihani ni keshokutwa,
Mbona habari ipo nusu nusu? Kama una maelezo kamili yamwage hapa.
Ukiskiliza maelezo ya mashuhuda utagundua ilikua ni ajali na binti hakuwa na lengo la kuendesha gari hilo.
Inasemekana hili gari lililo tibua mnuso mmiliki ni kaka ake na Kibibi huyo binti aliyeweka gia ya kurudi kinyuma nyuma. Wote wanaisadia polisi kwa uchunguzi zaidi
jamani hali za majeruhi zikoje. tafadhali tujuve.
Miaka 19 si mtoto bali mtu mzima ambaye anajua madhira na madhara ya magari. Iweje aparamie kutaka endesha siku hiyo?masikini labda alitaka kuanza nalo jamani kuja dar ...alikuwa na lengo zuri
hii ni adabu kwa nyie wazazi mkiwa na magari wafundisheni watoto wenu sio mpaka aibe...
jamani hali za majeruhi zikoje. tafadhali tujuve.
Wujiko Wujiko! Wujikoooooooo!