mwanafunzi SAUT auwawa kinyama usiku wa kuamkia leo

Si ajabu ilikuwa ni ugomvi wa kugombea mwanamke ndiyo chanzo,maana hiyo kitu ni maarufu sana kwa wanafunzi wa vyuo vikuu tena hasa undergraduates!!Mungu ampumzishe kwa amani marehemu!!!
 
acha hizo mdau!

Ukweli ndo huo wanafunzi hela za biya mtatoa wapi?
Biya tunajua mnakunywa boom likitoka siku mbili tatu limeisha mnahamia kwenye pombe ngumu madhara yake ndo haya vifo visivyo vya lazima
 
tumuombee afike salama safar yke ya milele
 
Ukweli ndo huo wanafunzi hela za biya mtatoa wapi?
Biya tunajua mnakunywa boom likitoka siku mbili tatu limeisha mnahamia kwenye pombe ngumu madhara yake ndo haya vifo visivyo vya lazima

tuache hzo tumwombee
 
mazngra ya chuo co mazur coz wanafunz wanaish mbl na chuo afu hawa watoto wanacfa mbya sana kwa wakaz wa mwnza coz mabnt ni malaya sana vjana walev na wahun.
 
Na uchunguzi wa polisi ulitoa taarifa gani juu ya kifo cha yule wa kwanza?Hakika hili si suala la kufumbiwa macho, zichukuliwe hatua zaidi ili kuweza kunusuru uhai wa watu. Poleni wafiwa.
 
hakuna report yoyote iliyotoka polisi
 
hivi nyie wanafunzi wa vyuo hamuwezi kutulia library makasomana kufanya tafiti?? kutwa mnazurura majiani haya sasa mnapigwa ngeta mnaporwa simu na kuuwawa...Pumzika mwanafunzi wangu uliyeuwawa kwa kupigwa ngeta
 
Roho za wamini walazwe pema peponi ,AMINA.TAARIFA NA CHANZO CHA KIFO CHA MAREHEMU PLS
 
mazngra ya chuo co mazur coz wanafunz wanaish mbl na chuo afu hawa watoto wanacfa mbya sana kwa wakaz wa mwnza coz mabnt ni malaya sana vjana walev na wahun.

ngosha ni kweli hawa vijana wa saut inabidi wabadili tabia huko mitaani wanasifa mbaya sana dharau, umalaya etc wakiingia bar, mitaani wanahisi kila mtu ameishia la saba au form 4 na kama kawaida msukuma huwa hataki dharau na matokeo yake ndio haya. Wadogo zangu muielewe jamii ya kanda ya ziwa ni watu wa namna gani, wasomi ni wengi sana huko na wana hela haswaa sema huwa hawataki maonesho ya kipuuzi. Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom