Mwanafunzi Mtanzania kakutwa amekufa/ameuawa Bangalore India

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,581
18,124
Wakuu,

Kuna habari kuwa mwanafunzi Mtanzania kakutwa amefariki Bangalore India.Habari zinasema huyo kijana kakutwa amechinjwa na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Kwa jina anatambulika kwa jina Imran.Tafadhali kama kuna mtu anweza kuwapata watu wa ubalozi watamwaga data kamili.pia naskia polisi wanataka kuleta uzushi flani ktk investigation..so juhudi zinahitajika kutoka ubalozini ili mambo ya uchunguzi yafanyike kwa makini.Pia nikipata news zaidi nitawajulisha

imran.jpg
 
Wahindi wanawadharau sana na kuwatesa sana watu weusi wanaosoma lndia.
ukipata shida ukipiga simu polisi wanakuuliza are u black american or african,
ukisema african husaidiwi lolote wala chochote
 
Duh huu ni unyama nasisi tuanze kuwachinja wa huku nini inaumaaaaa! kwani alifanya nini huyu kijnana wa watu! tuleteeni manyuziiii jamani
 
Duuuuhh!!!!!!!!!!!!!!! This is terrible! Yaani wahindi kwetu tunawahifadhi kama wafalme wao wanatuua? Jicho latatu linahitajika kutazama haya mambo kwa undani!
 
Mkuu,sasa coz watu walioko huko hawajatoa taarifa ya kutosheleza.think Embassy watakua na official data
 
Wakuu,

Kuna habari kuwa mwanafunzi Mtanzania kakutwa amefariki Bangalore India.Habari zinasema huyo kijana kakutwa amechinjwa na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Kwa jina anatambulika kwa jina Imran.Tafadhali kama kuna mtu anweza kuwapata watu wa ubalozi watamwaga data kamili.pia naskia polisi wanataka kuleta uzushi flani ktk investigation..so juhudi zinahitajika kutoka ubalozini ili mambo ya uchunguzi yafanyike kwa makini.Pia nikipata news zaidi nitawajulisha

alikuwa anasoma kozi gani
 
Wakuu mi nadhani inabidi tujue kwanza tukio lenyewe lilikuaje. watanzania najua ni wazuri kwa tabia popote pale waendapo(other factors remain constant).
 
Sasa uchunguzi unakaribia kukamilika,taarifa rasmi itatolewa baada ya uchunguzi kukamilika.Taarifa itaweza kuwekwa kwenye blog ya jumuiya ya wanafunzi wa kitanzania Bangalore(TASABA).

Post mortem ilikua inaendelea.Pia Afisa utawala wa Ubalozi ndugu.Amoni Mwamanenge yupo huko bangalore
 
Back
Top Bottom