Mwanafunzi Mtanzania kakutwa amekufa/ameuawa Bangalore India

Anaitwa IMRAN MTUI nirafiki yangu wa karibu... it is soo sad indeed.. amakutwa amekatwa mikono na miguu inasemekana baada ya kuuawa alitupwa relini na train ikampitia so kichwa kimesagika...

inaonekana wahindi wameanza vita rasmi ya kuwauwa watanzania kama (sio waafrica wasomao huko) kwa tz huyu ni mwanafunzi wa tatu kwa muda mfupi sana

Jioni ya kifo chake alimuaga rafikie wanae isha nae wote pale Saski Manshion, Gopal Reddy Layout, 1st Main (kwa wale waishio india msiba uko hapo) kuwa natoka akarudi badae ingawa hakuingia ndani akaacha pikipiki yake na mlinzi anasema alikuwa ameongozana na muhindi mmoja..so kesho yake asbuhi rafikie akapata taarifa ya kifo chake

RIP IMRAN you will be missed
 
Ben, tunashukuru kwa taarifa. Lakini je, ndugu wa huyu kijana wametaarifiwa kwa taratibu zilizo rasmi?Isije ikawa na wao watafahamu kuhusu kifo chake kupitia hapa!!

Mi nadhani ni vizuri kwa habari kama hizi either jina la mhusika lisiwekwe kwanza au likiwekwa iwepo na kitu kama "disclaimer" kusema kuwa ndugu wa marehemu wameshaarifiwa.

Ni hilo tu.

Otherwise RIP Imran
 
Ben,
Yaonekana una access na taarifa za huyu kijana moja kwa moja toka India na ndo maana umeweza kuleta hata picha yake.

Tufanyie wema kwa kutupatia taarifa za ndani za kijana wetu.

Ilikuwa ni lini na mazingira ya aina gani. Si vibaya kama utatueleza tabia ya kijana ingawa wengi tukishakutwa na msiba hatutaki kusema mabaya, lakini inasaidia kuwafahamu watu wa India ni wa aina gani.

Kumbuka hivi karibuni Wanafunzi wa India waliuwawa Australia na serikali yao ikaleta matata sana ya ki-diplomasia.
 
Nimepokea habari sasa hivi kuwa kunamuIvory cost kauawa leo hii huo huo mji wa bangalore...nimeshindwa kuongea zaidi simu imekatika gafla.. nitaleta habari nitakapoweza kuwasiliana na anipae habari
 
Ben, tunashukuru kwa taarifa. Lakini je, ndugu wa huyu kijana wametaarifiwa kwa taratibu zilizo rasmi?Isije ikawa na wao watafahamu kuhusu kifo chake kupitia hapa!!

Mi nadhani ni vizuri kwa habari kama hizi either jina la mhusika lisiwekwe kwanza au likiwekwa iwepo na kitu kama "disclaimer" kusema kuwa ndugu wa marehemu wameshaarifiwa.

Ni hilo tu.

Otherwise RIP Imran

wanataarifa toka asubuhi ile ile msiba uko mikocheni...mwili unaingia alhamis mazishi ijumaa
 
Tunajua Indians are racist towards Africans.Huko Australia,Wahindi students wanauliwa vilevile ,kwa sababu Mzungu anaona culture yao stupid.

Wakati wabongo tunawatukuza hawa watu,Good Idd Amin aliwajua vilevile.
Niliona doc about Dharavi ,design ya Manzese hata,Manzese afadhali.Lakini
Mhindi anajidai sana,hata sisi tuliosafiri,i can say Mhindi ni racist kuliko Mzungu,believe me
 
sasa ubalozi utakua umeshatoa habari maanke hata Afisa wa ubalozi yuko huko.Pia sasa picha na jina liko hadharani ktk blog ya TASABA 2009-20010
 
Pia kuna taarifa za mu-ivory coast alikutwa amekufa karibu na chuo cha Acharya.Ila sina taarifa kamili,lakini huyu mtanzania uchunguzi unaendelea kukamilika

Ikumbukwe kuwa Acharya ni institute ambayo watanzania kadhaa walisomea pale kwenye batch ya 2005 wakidhaminiwa kupitia bodi ya mkopo.wengi wao wamesharudi nyumbani ingawa bado kuna watanzania wanaojisomesha hapo.Ni chuo cha teknolojia na Management!

NB: pia hii ajali ina utata coz uchunguzi ndiyo utakaotoa jibu la mia kwa mia coz mtu akikutwa ktk track za reli inakuaga utata,lakini post mortem itatoa jibu muda si mrefu
 
he was such young and handsome! RIP

huwa naumia zaidi ninposikia kifo cha kijana au mtoto....!!!!!!!!!! i think of so many things!!!!!

i cant imagine wazazi wako katika hali gani, ndugu jamaa na marafiki!!!
poleni sana na Mungu awape nguvu na ujasiri, imani na busara!!!

rest in peace handsome!!!!
 
It is so sad,
 
Wahindi wanawadharau sana na kuwatesa sana watu weusi wanaosoma lndia.
ukipata shida ukipiga simu polisi wanakuuliza are u black american or african,
ukisema african husaidiwi lolote wala chochote
Halafu wakisemwa huku kwa ufisadi wanadai ubaguzi wa rangi.RIP marehemu
 
Inauma sana. wakuu mimi natoka kidogo,nikipata matokeo ya uchunguzi nitayarusha hapa.Pia naomba wengine watakaopata dataz kabla yangu waziweke hapa.

Naomba Mungu aipe nguvu familia ndugu jamaa na marafiki.May you Rest in Peace Imran.
 
Ingekua ni wao mwanafunzi wa kihindi kauwa hivyo Tanzania wangekua washabwatuka sana,they might be the most rascist people in the world.

Hata hivyo ngoja ripoti ya uchunguzi itoke kwanza,otherwise inauma kweli kweli.pia cha msingi ni wanafunzi wa kitanzania huko Bangalore wawe na utulivu ktk wakati huu mgumu
 
Maskini jamani handsome and looks soo innocent. RIP Imran
 
Ingekua ni wao mwanafunzi wa kihindi kauwa hivyo Tanzania wangekua washabwatuka sana,they might be the most rascist people in the world.

Hata hivyo ngoja ripoti ya uchunguzi itoke kwanza,otherwise inauma kweli kweli.pia cha msingi ni wanafunzi wa kitanzania huko Bangalore wawe na utulivu ktk wakati huu mgumu

wabaguzi sana hawa nguchiro!!!

Imran is too young to die tena kifo cha ukatili namna hiyo......sijui kwa kosa gani!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom