Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 105
Habari za muda huu wadau,
Naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyesoma shule za Tanzania bara kwenda kujiunga na vyuo vya Zanzibar kama vile KARUME TECHNICAL COLLEGE,ZANZIBAR UNIVERSITY au THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kwenye kada mbalimbali za kielimu mfano Engineering,Nursing au Ualimu.
Je,kuna masharti yoyote?