Mwanafunzi kupigwa risasi Mbezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanafunzi kupigwa risasi Mbezi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Jun 14, 2011.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Katika taarifa ya habari ya saa 2 jioni hii nimeona mwanafunzi wa sekondari Mbezi aliyepigwa risasi na polisi wakati wakishinikiza kuwekwa matuta barabarani baada ya mwenzao kugongwa na gari na kufa. Kilichonishangaza zaidi ni baada ya kusikia afande Kova akiwageuzia kibao wanafunzi hao kuwa wao ndio chanzo cha matukio hayo. Matukio ya raia kupigwa risasi na polisi yamezidi kuongezeka na inaonyesha kukubalika na viongozi wa polisi kutokana na kauli ya Kova ambaye hakuonyesha kustushwa wala kusikitishwa na tukio hilo. Kuna haja ya kudhibiti matumizi ya silaha za moto wakati wa kutuliza ghasia mbalimbali, hasa pale ambapo watoto wadogo wanapohusika.
   
 2. m

  mukama talemwa Senior Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kusema kweli kuna haja ya kuwapa askari wetu mafunzo zaidi ili wajue niwakati gani wa kutumia silaha za moto
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  taarifa za kiintelijensia zilizotufikia zinasema kuna siasa ziliingilia kati ndo mana nguvu ikatumika
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ....tena chadema.
   
 5. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ....tena chadema walipanga hayo matukio. Nyie police akili zenu zmekaa kwenye makali..? Ki2 kdogo tu nyie risasi.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ina maana afande Kova ameshangilia mwanfunzi kupigwa risasi? Amesahau yaliyompata afande Zombe?
   
Loading...