Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

Mkuu hapa umeendeshwa na hisia zako binafi zaidi kuliko uhalisia wa jambo tunalolizungumzia hapa, acha chuki binafsi na ujifunze kuwa mkweli! Samahani iwapo utakwazika kwa huu ukweli niliokuambia.

acha jazba pia usinilazimishe niseme unayoyataka wewe.
 
kama kuna mtu anasoma au anafahamu computer science basi lazima amkubali jamaa creator wa mayocoo,kama unahate basi unahaja ya kudesign algorithims
 
kama creator wa mayocoo au msemaji wao yupo, aje hapa tumuulize maswali ambayo atatujibu kuliko kubishana wenyewe, mnaomjua mumuite hapa
 
Cha kushangaza watu wote wanaomsifia huyo aliyetengeneza hiyo site, hawatoi sababu maalumu wanayomsifia nayo ila wanaishia kusema jamaa kajitahidi mara oo haters ndio wanaokupinga.

Social network bila security, inteligence, publicity ni bure. Ni sawa na kuniambia mtu aunde gari halina breki wala taa halafu aliingize barabara ya highway usiku halafu watu waishie kumsifia huyo jamaa.

Mark Zuckelberg mwenyewe aliitengeneza facebook tuionayo sasa kwa jina la "the facebook" akashauriwa na kuitoa hiyo the na kubaki na facebook na mambo mengine mengi. So jamaa akibali criticizims ingawaje inauma. Ajaribu kurekebisha hayo wadau wanayomwambia then aone matokeo yake.

Watumiaji ni sisi (jamii), na jamii ndiyo inayomkosoa makosa yake. Nyie wakina skyline na makoye acheni kumpotosha mwenzenu kwa kuwa either ni mshikaji wenu ama mnasoma nae chuo kimoja. Siku zote, mfanyabiashara hatakiwi kuwa na lugha ya kukinzana na wateja wake hususan pale wateja wanapoulizia huduma bora na nzuri. Ni hayo tuu.
 
Kama hiyo mayokooooo ndio inafanya watu waielewe Udom basi nawaonea huruma.Halafu sioni sababu ya kuinclude chuo kwenye hili,naamimi kuna watu hapo wana uwezo wa kufanya mara 100 ya hiki kitu.

Wanasubiri nini kufanya?? Jamaa kafanya yake waambie na wao wafanyae yao.
 
hongera kijana ila inabidi liki za chini ziwe active tuweze kujua aliye develop
 
Vyuo vyetu vikitoa graduates wengi wa namna hii ni jambo la kupendeza na wanafunzi wa namna hii wakiwa na clubs zao watafanya mambo makubwa sana.

Chuo namba one ulimwenguni " Carifonia Institute of Technology" kwenye home page ya chuo chao vitu vilivyojaa ni "ugunduzi na solutions" mbalimbali zilizofanywa na Maprofessor wakiwashirikisha wanafunzi wao.

Je, vyuo vyetu hasa vya technologia na engineering wahadhili na wanafunzi wa degree ya kwanza , masters na phd wanafanya nini kinachoonekana?

Hongera UDOM, hata kama sifa ni ya mwanafunzi kwa juhudi zake LAKINI ukweli bado unabaki kuwa yeye ni mwanafunzi wa UDOM.
 
ninachomsifia kaandika algorithims powa
Algo powa? Umezionaje? Au ndio wewe Mr. Mayocoo?

Sitaki kuishusha kazi ya huyu jamaa, kwa level yake kajitahidi lakini kwa viwango vya web apps bado sana!
Sijajua kwa nini hakutaka kuja kupata ushauri na ukosoaji ili aboreshe na kujifunza. Anyway may be alifanya visionless showoff for funny!
 
Chuo namba one ulimwenguni " Carifonia Institute of Technology" kwenye home page ya chuo chao vitu vilivyojaa ni "ugunduzi na solutions" mbalimbali zilizofanywa na Maprofessor wakiwashirikisha wanafunzi wao.
Je, vyuo vyetu hasa vya technologia na engineering wahadhili na wanafunzi wa degree ya kwanza , masters na phd wanafanya nini kinachoonekana?

Nenda pale DIT utajua. Tatizo hawana namna ya kufanya publicity...wamefeli eneo hilo!
 
Natumaini wote wazima

Kwanza napenda kumshukuru Sine r Winters kwa kupost hii news Na JamiiForums kwa ujumala

Pili nawashukuru wote kwa maoni, mapendekezo na ushauri wenu wote mlio toa kwani umenipa mwanga wapi pa kurekebisha na wapi pa kuongeza .

Tatu naendelea kuyafanyia mawazo yenu kazi ambayo yanawezeka kwa haraka na mengine yakiwa yanafanyiwa ufumbuzi ni jinsi gani ya kufanya.

Nne kuna mawazo mazuri na ya kukosoa ambayo yanajenga pia kuna mengine yanabomoa na kupotosha watu sio vizuri kuyaweka katika jamii kuwaonesha hali halisi ya system inavyofanya kazi, Kuna baadhi ya maoni yasingepaswa kuwekwa hapa, Ingependeza zaidi uyatume kwenye Team ya mayocoo tungeyafanya kazi kwa ufasaa Zaidi.

mwisho kabisa napenda kuwashukuru tena kwa mawazo yenu na nipo tayari kushirikia na nyie katika kuifanya mayocoo iendelee. Mi pia nimefuraishwa sana na mawazo yenu kwani yananipa changamoto kubwa sana.

Nawatakia wote mafanikio mema kwa kila mnachofanya

kwa maoin ya moja kwa moja mpaka unaweza tuma kwa email zifuatavyo

justicedonatus@mayocoo.com
feedback@mayocoo.com
info@mayocoo.com

mwisho kabisa nipende kujitabulisha kwenu

NAME: JUSTICE DONATUS
FROM: ARUSHA
EDUCATION: BACHELOR DEGREE at UNIVERSITY OF DODOMA,COLLEGE OF INFORMATICS (UDOM -CIVE) COURSE - COMPUTER ENGINEERING 3year

ASANTENI WOTE

na nawaombe muendele kutoa maoni mapendekezo na ushari ili tufanikiwe kuitangaza Tanzania yetu kimataifa

karibu wote mayocoo http://www.mayocoo.com

maana ya MAYOCOO ni MAnage YOur COmmunication Online

wish u all the best
 
kwa maoin ya moja kwa moja mpaka unaweza kwa email zifuatavyo

justicedonatus@mayocoo.com
feedback@mayocoo.com
info@mayocoo.com

mwisho kabisa nipende kujitabulisha kwenu

NAME: JUSTICE DONATUS
FROM: ARUSHA
EDUCATION: BACHELOR DEGREE at UNIVERSITY OF DODOMA,COLLEGE OF INFORMATICS (UDOM -CIVE) COURSE - COMPUTER ENGINEERING 3year

ASANTENI WOTE

na nawaombe muendele kutoa maoni mapendekezo na ushari ili tufanikiwe kuitangaza Tanzania yetu kimataifa

karibu wote mayocoo http://www.mayocoo.com

maana ya MAYOCOO ni MAnage YOur COmmunication Online

wish u all the best

Wewe unaonekana ni muelewa kuliko huyo kibaraka wako aliyekurupuka na kujifanya kukutetea wakati uwezo na hoja hana.Nakushauri fanyia kazi uliyoambiwa na wote hapo juu(as u said u will) na pia shirikiana na hao watu kama wakina Aqua Xyz sun wu ray05 chief-mkwawa Magembe R. Malima CTO, na wengineyo.Hicho ulichokifanya ni hatua kubwa lakini ili ufike unapokwenda inabidi upige hatua nyingine zaidi,mimi kama mmoja wa wadau wa teknolojia naona ulichokifanya bado hatuwezi kukiweka kwenye soko la ushindani hata kidogo lakini NAKIRI kazi uliyofanya sio ndogo coz i know how to write hizo codes kunavyopoteza muda na kutumia nguvu.So ili nguvu na muda wako visipotee bure ni vyema ukakaza but now.Pitia social network nyingine kama vile Imo,Tagged etc sio lazima facebook na twitter tu,omba ushauri kwa wataalam zaidi,hao jamaa zako wakiona ile sehemu ya kuchat tu wanadhani umemaliza kazi.
ALL THE BEST

NB.
Mtu kama dada white ni fundi cherehani unategemea nini kutoka kwake zaidi ya kukupongeza na kukuona wewe ni mtaalam namba moja tanzania? (jokin)
 
Last edited by a moderator:
Mtu kama dada white ni fundi cherehani unategemea nini kutoka kwake zaidi ya kukupongeza na kukuona wewe ni mtaalam namba moja tanzania? (jokin)
Sasa hapa unataka maneno ingine. Unaweza kuta ni mwanasheria maarufu shauri yako ray05
 
Last edited by a moderator:
Pili nawashukuru wote kwa maoni, mapendekezo na ushauri wenu wote mlio toa kwani umenipa mwanga wapi pa kurekebisha na wapi pa kuongeza ........EDUCATION: BACHELOR DEGREE at UNIVERSITY OF DODOMA,COLLEGE OF INFORMATICS (UDOM -CIVE) COURSE - COMPUTER ENGINEERING 3year
Karibu sana kwa mtandao. Nina mawili ya kusema baada ya hongera:
1. Una safari ndefu sana kufikia unachotaka. Ongeza juhudi, fanyia kazi ushauri (Mojawapo ni huu, tangaza kwamba site on test na ulimit idadi ya watu wa kutest then close registration - g+ way)
2. Elimu yako sijaielewa (Hili nalo ni jambo? anyway unaweza lipotezea tu!)
justiceD
 
okey nitaifanyia kazi iyo
Nasoma university of dodoma mwaka wa Tatu BSc computer engineering
 
Samahani kama taonekana pessimistic..

Hio network yake ina watu wangapi ?

Sababu kutengeneza platform is one thing.., na ku-market, kupata watu kujiunga na kustick na forum yako is a totally different ball game.., ndio maana hata kina MySpace ingawa walikuja before Facebook lakini we know what happened..

Pia kuna forums nyingi zenye format na engine kama ya JF lakini nyingi zina visitors wawili baada ya miaka mitatu..

Kwahio kwenye Social Networks what really matters is the Network (people interactions) more than anything

Kama umeliona hilo jombaa anza kuwa barozi mzuri kwa kucreate yo own account na kushare the hii k2 kwa yo friends pia....kama sisi wenyewe tukianza kuonyesha uzarendo na kumpa mawazo ya kuimprove social network yake huyu kijana yawezekana ikafika mahari lakini tukiishia kusema vyengine vilitengenezwa lakini havikufika popote na hiki pia kinaweza kisifike....ooh by the way me nsha create my account humo,vipi wewe??
 
Wewe unaonekana ni muelewa kuliko huyo kibaraka wako aliyekurupuka na kujifanya kukutetea wakati uwezo na hoja hana.Nakushauri fanyia kazi uliyoambiwa na wote hapo juu(as u said u will) na pia shirikiana na hao watu kama wakina Aqua Xyz sun wu ray05 chief-mkwawa Magembe R. Malima CTO, na wengineyo.Hicho ulichokifanya ni hatua kubwa lakini ili ufike unapokwenda inabidi upige hatua nyingine zaidi,mimi kama mmoja wa wadau wa teknolojia naona ulichokifanya bado hatuwezi kukiweka kwenye soko la ushindani hata kidogo lakini NAKIRI kazi uliyofanya sio ndogo coz i know how to write hizo codes kunavyopoteza muda na kutumia nguvu.So ili nguvu na muda wako visipotee bure ni vyema ukakaza but now.Pitia social network nyingine kama vile Imo,Tagged etc sio lazima facebook na twitter tu,omba ushauri kwa wataalam zaidi,hao jamaa zako wakiona ile sehemu ya kuchat tu wanadhani umemaliza kazi.
ALL THE BEST

NB.
Mtu kama dada white ni fundi cherehani unategemea nini kutoka kwake zaidi ya kukupongeza na kukuona wewe ni mtaalam namba moja tanzania? (jokin)

Daa haya bwana nimekubali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom