si ndo kwanza anaanza jamani we ulitaka mtoto azaliwe leo aanze kukimbizana na watu wazima au? Toa pongezi sikilizia uelekeo wake umeshindwa kaa kimya.Samahani kama taonekana pessimistic..Hio network yake ina watu wangapi ?Sababu kutengeneza platform is one thing.., na ku-market, kupata watu kujiunga na kustick na forum yako is a totally different ball game.., ndio maana hata kina MySpace ingawa walikuja before Facebook lakini we know what happened..Pia kuna forums nyingi zenye format na engine kama ya JF lakini nyingi zina visitors wawili baada ya miaka mitatu..Kwahio kwenye Social Networks what really matters is the Network (people interactions) more than anything
nakutana na kitu kama hiki wadau
si ndo kwanza anaanza jamani we ulitaka mtoto azaliwe leo aanze kukimbizana na watu wazima au? Toa pongezi sikilizia uelekeo wake umeshindwa kaa kimya.
Vipi mkuu... Mbona umeuliza kama polisiToa details zake hapa tafadhali
Jina lake wasifu wake
Namba zake za simu
yeap, pia hiyo site haina 404 error Page, actually ni script inayoitwa mayoco: manage your content - mayoco | Introduction na hako kafaili kanaload kutoka kwenye page ya chat ambapo nimegundua kuna user ana id ina jina kama la hako ka fileUme scan for malicious code?
yeap, pia hiyo site haina 404 error Page, actually ni script inayoitwa mayoco: manage your content - mayoco | Introduction na hako kafaili kanaload kutoka kwenye page ya chat ambapo nimegundua kuna user ana id ina jina kama la hako ka file
nime-join ::::it loads very slowly,:::::ushauri wangu kwa Mayocoo team---watafute server kubwa kwa ajili ya kuhost website hii...pia kuna some spelling errors,mfano kwenye settings->deactivate->kuna sehemu inasema "underconstraction" ..... pia,kuna links kibao hazifanyi kazi(mfano,developers,privacy policy,na terms of service)..arekebishe...namtakia kila la kheri...ila ingekuwa vyema tukifahamu maana halisi ya neno "mayocoo"..its good to know the meaning,,,,,,,Kila la heri...Mungu abariki kazi yake.
Toa details zake hapa tafadhali
Jina lake wasifu wake
Namba zake za simu
Weak indeed, no different from - and probably less secure than- my Geocities webring in 1999. But it's UDOM, what do you expect?