Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

Kwa asiyeelewa muziki wa course ya Statistics sitamshangaa kwakuwa hajui asemalo. Kwa lugha nyepesi alikuwa anasoma kozi iliyotawaliwa na mahesabu magumu ambayo ukianza kosolve unafuta ubao ule Kama wa shule ya msingi Mara tatu. Hongera kwake na aitumie elimu' yake kikamilifu
 
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.

Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.

---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM

View attachment 1981949
Tito Paul(Kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo Dar es Salaam, Dkt. Kikwete​

Mwisho wao wanaishia kutegemea wazazi wawalishe and others wanaomba kibarua kwa ambao hawakusoma.
 
Sisi ambao degree zetu haziko classified kwenye scale ya GPA tunaangukia wapi, maana ukihitimu kuwa dakatari ni datari tu..........hakunaga dakatari wa GPA 1,2,3,4,5 wote ni madakatari tu.
 
Ila kwa nini hizi taarifa hazikutoka katika vyombo vya habari kama zioivyofanyika kwa wale KE? Naona sasa tunaanza kubaguana sisi kwa sisi, kwamba wao ME na sisi ni KE.
Labda hako jina lenyewe, kuna mtoni/umtoni nam mengine ya mwilini mmmh nabaki na langu moyoni.


Karibuni mipakani mtajifunza mengi
 
Kwa sasa anaweza pata connection kwa wenye makampuni yao wakiona hii habari
The akajiendeleza kwa ajili ya kuja kuwa independent kwenye haya:-
1. Data Analyst: A degree in statistics equips individuals with the skills to analyze and interpret complex data sets. As a data analyst, you can work in various industries, such as finance, healthcare, marketing, or technology, to derive insights, make data-driven decisions, and identify patterns and trends.

2. Actuary: Statisticians with a strong understanding of probability theory and risk management can pursue a career as an actuary. Actuaries assess and quantify financial risks for insurance companies, pension funds, and investment firms, using statistical models and mathematical calculations.

3. Market Researcher: With a background in statistics, you can work as a market researcher, collecting and analyzing data on consumer preferences, market trends, and competitor analysis. This information helps companies make informed decisions about product development, marketing strategies, and target markets.

4. Operations Research Analyst: Operations research analysts utilize statistical modeling and optimization techniques to improve business operations. They identify and solve complex problems related to supply chain management, production processes, pricing strategies, and resource allocation.

5. Biostatistician: If you have an interest in healthcare and biology, a career as a biostatistician might be suitable. Biostatisticians design and conduct studies, analyze medical data, and interpret results for research institutions, pharmaceutical companies, and government agencies.

6. Quantitative Analyst: In the finance industry, quantitative analysts, or "quants," utilize statistical modeling and mathematical algorithms to analyze financial markets, develop trading strategies, and assess investment risks. They work for hedge funds, investment banks, and other financial institutions.

7. Statistical Consultant: As a statistical consultant, you can offer your expertise to individuals, businesses, or research projects that require statistical analysis but lack in-house expertise. This role involves collaborating with clients to design experiments, analyze data, and provide actionable insights.

8. Data Scientist: Data scientists combine statistical analysis with programming and database management skills. They specialize in exploring and interpreting large, complex data sets to uncover patterns, build predictive models, and support strategic decision-making.

9. Quality Control Analyst: Manufacturing companies often employ statisticians to ensure product quality and process efficiency. Quality control analysts use statistical methods to monitor production lines, detect defects, identify root causes of issues, and implement improvements in manufacturing processes.

10. Survey Statistician: Survey statisticians help design surveys, select sample sizes, and analyze data collected through surveys. They work with research organizations, government agencies, and polling companies to ensure accurate data collection and interpretation while maintaining high response rates and minimizing bias.
 
Mkumbusheni........aliyesimama naye alikuwa raisi miaka 10 hiyo mwanafunzi bora hana..........ila pongezi kwa kwake na waliomlipia ada ........
 
Back
Top Bottom