Mwanafunzi avae hata sare ya S/Msingi- Waziri

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,203
Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, ameendelea kusisitiza kwamba wakuu wa shule kutoweka vikwazo kwa wanafunzi wataokuwa hawana sare za shule badala yake wawaruhusu kuingia darasani hata na sare zao waliuzokuwa wanavaa shule ya msingi.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Januri 6, 2021, wakati akitoa tamkoa maalum kwa wanafunzi wanaotarajiwa kuanza masomo Januari 17, huku akimshukuru Rais Samia kwa kuwezesha ukamilikaji wa madarasa 12,000 nchini.

"Kama ni mwanafunzi wa sekondari anaweza akatumia sare yake aliyokuwa anavaa shule ya msingi wakati mzazi anatafuta fedha au akavaa tu t-shirt na sketi yake nzuri akaenda darasani, wazazi pia waangalie joining instruction (maelekezo ya kujiunga na shule) inasema nini kwa sababu kuna vitu vingi ambavyo havina hata umuhimu, jamani tuondoe vikwazo," amesema Waziri Ummy

Ummy mwalimu anachapa kazi haswaa, Samia hasimtoe kwenye hiyo wizara
 
Hao wanafunzi hata Shule za msingi hawakuwa na uwezo wa kununua sare.
 
Back
Top Bottom