Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

huyu dada nakumbuka alikuwa very beautiful na alishakuwa kwenye mahesabu ya wengi enzi hizo block C.
alikuwa mpole, mrefu aliyeumbika na haiba fulani ya kimama sio kimchepuko.
kuna jamaa yangu alikuwa amedhamiria akimpata anaoa.
tulisikitika sana kuambiwa X wake kamchoma kisu na bahati mbaya post mortem ilifanyika jamaa yangu akiwepo kwani alikuwa muhas enzi hizo. jamaa bila kujua kwenye pindi lao anakutana na mwili wa mdada
Oh jamani!Kama namuona jamaa alivyopata mshtuko na uchungu mkali!
 
SIWEZI

Huo ni ulofa kiwango cha PhD kwa huyu muuaji

R.I.P Marehemu
 
RIP Bertha

Ingawa hii habari ni ya longtime lakini inatoa elimu kwa vijana wetu
 
Oh jamani!Kama namuona jamaa alivyopata mshtuko na uchungu mkali!
yaani jamaa yangu alikuja room kama kachanganyikiwa hivi.
the lady was beautiful enough and kind kiasi cha mtu kutofikiria mara mbili mke wa kuoa akiwa naye. lakini ndio hivo wazuri huwa hawakutani na walio serious wanaishiaga kuchezewa tu na wao kukata tamaa.
 
huu uwanja wa mapenzi ni mgumu sana wachache wamefanikiwa bila tatizo ila pamoja nabkuwa ni dhambi/ uasherati kwa sisi wakristu hatuna budi kuomba Mungu wetu atulinde tuu na kutuepusha na mabaya. haki ya Mungu ulimwengu mgumu. handsome akipenda coz yupo serious anatendwa. mdada mrembo anejieshimu na mwenye upendo wa kweli kama huyo hapo juu akipenda anatoswa na boya chalii mwenye mambo ya ajabu kama hayo hapo juu. yan ni bora kuyachukulia mambo easy tuu
vinginevyo utakufa kwa presha au utafanya mauaji kabisa kama huyo braza hapo juu. Mungu turehemu tulinde usituhukumu sababu ya dhambi zetu bado sisi ni viumbe dhaifu tunaoendeshwa na tamaa za kidunia.
 
Wanafunzi bhana halafu wanaume tunaonekana si wavumilivu maana sidhani kama hakuna mwanaume anaye saliti na akajulikana kuwa anasaliti.
 
Kabla ya kujengwa ile hostel palijulikana kama bonded la mpunga au uwanja wa NPF wakati huo lakini nyuma ya macho ya kawaida palikuwa kilinge kikuu cha wachawi wa dar na pwani ndio maana eneo lile kuanzia riverside mpaka external halilali njaa kwa mwezi lazima ziondoke roho kadhaa
Dah kweli nimeshuhudia wawili wakigongwa kituo cha hostel mkabala na lunchtime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so sad ni kwamba, Dr. Isack Ndodi alikuwa nao ijumaa kuzungumzia mambo hayo hayo ya mapenzi kabla ya ndoa na wakati wa uchumba. Jumamosi mauaji yakatokea. Hii inathibitisha kuwa wabongo wengi tunaendeshwa na hisia pamoja na silika zaidi kuliko akili.
Nakumbuka kipindi hiko nikimsikiliza sana kama sikosei Radio Free Africa,jamaa mjanja mjanja na muongo muongo sana alikuwa sijui siku hizi kafia wapi!
 
Back
Top Bottom