Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,468
- 17,312
Poleni sana ndugu jamaa na wazazi.......jamani haya mapenzi mngeyapa muda wake....pale muwe mnasoma mmalize mkatafute kazi hapo ndipo muanze hayo mapenzi.....kwa hakika 95% wale wanaojifanya boy friend na girl friend huwa yanaisha baada ya shule asikudanganye mtu....mkitoka uraiani life linakupasua binti anaonwa na vijana waliotayari kimaisha anakusahau wewe ulietoka nae college maana hata nauli tu inakuwa shida.....mara nyingi tunaona hapa hakuna kitu kama hicho....sasa kama ndio hivyo....kwa nini unamkatishia uhai wake jamani???mbaya sana sana......poleni ndugu...huyo kijana atajua jela ni nini......