Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

Wakati mwingine tamaa ya mapenzi husababisha huzuni,binadamu hawaridhiki sijui kwa nini.
 
Inadhihirisha kama kweli WAKURYA ni HASIRA TUPUUUU....
Ila naamin hasira yake imemponza...na kwa sasa anajuta huku mahabusu aliko..
TUJITAHIDI KUTAWALA HASIRA ZETU JAMAN. HAPA DUNIAN NI MAPITO TU..TUVUMILIANE, NA HATIMAYE WOTE TUFIKE MBINGUNI KUTOKANA NA IMANI ZETU TULIZO NAZO.
 
TUJITAHIDI KUTAWALA HASIRA ZETU JAMAN. HAPA DUNIAN NI MAPITO TU..TUVUMILIANE, NA HATIMAYE WOTE TUFIKE MBINGULI KUTOKANA NA IMANI ZETU TULIZO NAZO.

...Jamani, kuna mamo mengi sana tunapaswa kujiuliza kutokana na tukio hili. Hivi mwanamke kweli aliye mama yetu, mke wetu, mtoto wetu, mchumba wetu, bibi yetu, binti yetu nk ni wa kumshikia kisu na kumtishia kwa kisu kweli achilia mbali kumchoma nacho???
Hivi unapopigana na kisu na mwanamke mwanaume mwenzako utapigana naye na nini?
Hivi kumpiga hata kofi tu achilia mbali kisu binadamu anayetokana na mbavu zako mwenyewe si sawa na kujipiga kofi ama kisu wewe mwenyewe?
Tuwapige kwa pande za khanga jamani wanawake wetu na sio kwa ngumi wala visu! Very, very sad indeed.
Nchi sasa ni Less Wasomi wa Wawili.
 
Lakini ikumbukwe pia kwamba yule kijana (Mvulana) alikuwa na tabia ya ulevi wa pombe. Pengine cha kujifunza pia ni kwamba wale wanaotumia kinywaji hicho yafaa kuwa waangalifu, wawe na kiasi. Inavyooneka yule jamaa alitenda tendo hilo la kuhuzunisha kwa drive ya pombe. Ukiwa na pombe nyingi kichwani mara nyingi uwezo wako wa kureason na kujitawala unakuwa mdogo. Sasa bila shaka anajutia!
 
Hebu ona matunda ya haraka ya maisha? Hivi kweli nyie vijana tunawapeleka vyuoni kusoma au kwenda kufanya mapenzi ? Na mkishachafuana huko hivi kweli mtapata wanaume watakaowaheshimu. Mwanangu, tafadhali usiniangushe kaa kama ulivyokaa nyumbani na mumewe akukute ukiwa bado hujaingiliwa na watu wasiojua wanatoka wapi wala wanaelekea wapi katika dunia hii. Na hilo gonjwa nalo likupitie mbali kabisa.

Huyu mwenzenu sasa ni mtuhhimiwa na pengine atafungwa. Elimu atakosa. wazazi wa pande zote mbili kawaachia simanzi na majonzi yasiyo na mwisho.

Mkiwa vyuo vikuu jamani fanyeni kazi moja tu. Tieni kitabu kiwakubali kisha mkiapta madigrii makubwa makubwa wanaotaka kufanya uhuni waende Marekani, Thailand, Vietnam, Netherlands na kadhalika wakainjoi hadi mwisho wao kama wanaamini wao wameumbiwa ngono!
 
Dogo ni mtu wa bangi sana so binti alijua hilo akawa anamkataa si ndio jamaa akatangaza janjaweed. Alishafungasha ili atoroke ila haikuwa hivyo
 
Marehemu Mbaraka Mwinshehe aliimba hivi
"Enyi vijana sikilizeni,
mnapokuwa masomoni,
acheni mchezo wa mapenzi,
mnawapa uchungu mwingi sana wazazi wenu,
wazazi wanaowasomesha kwa gharama kubwa sana....."
Nawapa pole wazazi wa marehemu na naomba sheria ichukuwe mkondo wake. Mungu ailaze pema roho ya marehemu. Ameni
 
Inadhihirisha kama kweli WAKURYA ni HASIRA TUPUUUU....
Ila naamin hasira yake imemponza...na kwa sasa anajuta huku mahabusu aliko..
TUJITAHIDI KUTAWALA HASIRA ZETU JAMAN. HAPA DUNIAN NI MAPITO TU..TUVUMILIANE, NA HATIMAYE WOTE TUFIKE MBINGUNI KUTOKANA NA IMANI ZETU TULIZO NAZO.
Sio hasira, ni upuuzi. Mwenye kufanya haya alilelewa hovyo!
 
Inadhihirisha kama kweli WAKURYA ni HASIRA TUPUUUU....
Ila naamin hasira yake imemponza...na kwa sasa anajuta huku mahabusu aliko..
TUJITAHIDI KUTAWALA HASIRA ZETU JAMAN. HAPA DUNIAN NI MAPITO TU..TUVUMILIANE, NA HATIMAYE WOTE TUFIKE MBINGUNI KUTOKANA NA IMANI ZETU TULIZO NAZO.

Jina la mtuhumiwa si la kikurya ndugu,ni mjita huyo.
 
Haya ni mapenzi ya kitoto. Ya nn hadi kumuua mwenzio kwa ajili ya mapenzi? Kwani wanawake wameisha hadi unaamua kuua. Sasa kakosa vyote chuo kakosa, jail ndio hiyo inamuita.
 
Sidhani kama ni mapenzi ya kitoto. Hii ni (most likely) crime of passion na haijalishi umri wa mtu.

Nani anamkumbuka Clara Harris wa Houston, Texas? Huyu mama alimgeuza mumemwe kuwa speed bumb kwenye roundabout ya hoteli....
 
" IF I CANT HAVE YOU..NOBODYELSE SHOULD" mentality

Kufuatana na Mkuu wa Chuo Professor Mukandala, hili ni tukio la kwanza toka chuo hicho kianze more than 40 years ago.Hii inatupa mafundisho yafuatayo:
1. Mahusiano kwenye vyuo - watu wawe waangalifu sana wanapoanza au kumaliza mahusiano.Jiulize unaanza uhusiano na mtu wa namna gani kitabia, kiimani, kimalezi n.k kisha uamue.Unapotaka kufuta/kusitisha uhusiano usikurupuke.Weka mkakati wa kumfanya anayeachwa aanze kupokea ukweli huo taratibu.Inaelekea huyu kijana hakutegemea kuachwa na hakuwa na uwezo kuhimili mshindo wa kuachwa.Kuachwa ni shughuli pevu eti!
2.Wazazi na walezi - kaeni karibu na vijana wenu,Jaribuni kuwaelewa pale inapowezekana,muwe wadadisi kujua wanapokuwa na mahusiano ili muwape mwongozo unaostahili.

Inasikitisha sana kuona vijana wakiteketea kwa kukosa maarifa.
Poleni wale wote walioguswa na msiba na tukio kwa ujumla wake.
 
True!
Mapenzi ya mlenda na wali.
wanajiabisha sana hawa wasomi wa vyuo vikuu,mwingine TIA mwaka huu alijirusha ghorofani afe eti kakataliwa na nyapu.
 
Lakini mambo kama haya yanatokea kila mara uraiani. Hayana umri wala jinsia wala social status.
 
" IF I CANT HAVE YOU..NOBODYELSE SHOULD" mentality

Kufuatana na Mkuu wa Chuo Professor Mukandala, hili ni tukio la kwanza toka chuo hicho kianze more than 40 years ago.Hii inatupa mafundisho yafuatayo:
1. Mahusiano kwenye vyuo - watu wawe waangalifu sana wanapoanza au kumaliza mahusiano.Jiulize unaanza uhusiano na mtu wa namna gani kitabia, kiimani, kimalezi n.k kisha uamue.Unapotaka kufuta/kusitisha uhusiano usikurupuke.Weka mkakati wa kumfanya anayeachwa aanze kupokea ukweli huo taratibu.Inaelekea huyu kijana hakutegemea kuachwa na hakuwa na uwezo kuhimili mshindo wa kuachwa.Kuachwa ni shughuli pevu eti!
2.Wazazi na walezi - kaeni karibu na vijana wenu,Jaribuni kuwaelewa pale inapowezekana,muwe wadadisi kujua wanapokuwa na mahusiano ili muwape mwongozo unaostahili.

Inasikitisha sana kuona vijana wakiteketea kwa kukosa maarifa.
Poleni wale wote walioguswa na msiba na tukio kwa ujumla wake.

WoS:

Wakati mwingine inabidi tuanze open discussion kuhusu masuala ya mahusiano.

Yaani kukataliwa bongo inakuwa kama defeat katika maisha. Zamani nikiwa bongo, demu wangu alichukuliwa na jamaa kwa sababu nilikuwa nina-bore na mwenye kuvaa miwani mikubwa.

Baada ya kuchukuliwa nilionekana bonge ya loser. Hata marafiki wangu walikuwa wanaona issue kubwa sana. Basi ilibidi niingie mitini kwa zaidi ya mwezi ku-sooth things down.
 
Sidhani kama ni mapenzi ya kitoto. Hii ni (most likely) crime of passion na haijalishi umri wa mtu.

Nani anamkumbuka Clara Harris wa Houston, Texas? Huyu mama alimgeuza mumemwe kuwa speed bumb kwenye roundabout ya hoteli....
sikumaanisha kwamba ni walikuwa watoto, ila baadhi ya watu wanakuwa na akili fupi ya kufikiri, wanafikiri wakati uliopo tu, hawafikiri wakati ujao utakuwa vp. Ndio maana nikasema akili za kitoto, maana mtoto huwa anafikiri wakati uliopo. Hivyo watu wote wanaoua wenzao kwa ajili ya mapenzi au wanajiua kwa ajili ya mapenzi mie huwa nawafanisha akili zao na mtoto.
 
Lakini ikumbukwe pia kwamba yule kijana (Mvulana) alikuwa na tabia ya ulevi wa pombe. Pengine cha kujifunza pia ni kwamba wale wanaotumia kinywaji hicho yafaa kuwa waangalifu, wawe na kiasi. Inavyooneka yule jamaa alitenda tendo hilo la kuhuzunisha kwa drive ya pombe. Ukiwa na pombe nyingi kichwani mara nyingi uwezo wako wa kureason na kujitawala unakuwa mdogo. Sasa bila shaka anajutia!

ndugu,niliposoma hili bandiko lako kwanza nikaanza kucheka,maana nimekumbuka kisa kimoja kinasema hivi,kuna jamaa mmoja alikuwa mlevi sana,sasa siku moja wavulana wenzie wakamtaimu akiwa kalewa wakamkamata wakamvua nguo kisha wakamnanilihi(kwa wakubwa tu),zile habari zikaenea kuwa jamaa alipolewa wenzake wamemgeuza mke wao lakini jamaa akakataa akasema yeye hajawahi kufanyiwa kitu hicho na kama kuna watu wamemfanyia kitu hicho akiwa amelewa basi wameinanilii pombe na sio yeye..!
 
Back
Top Bottom