Mwanafunzi atangaza kuwania nafasi ya Spika wa Bunge

Promo..., Hapo ameshajulikana hata kesho akigombea udiwani au uwenyekiti wa mtaa kwenye CV inaonesha hivyo...

Na ametokea kwenye gazeti front page na wewe hapo unamuongelea.... Public Relations (There is no such thing as bad publicity)
 
Unathubutu kuingiza mkono kwenye shimo ambalo una uhakika wa asilimia 100 kuwa nyoka yupo ndani yake!!!????
Huo si uthubutu,huo ni uzuzu.
Hii ni style ya kujitangaza tuu.
Hopeless kabisa! Mbona vyama vya upinzani kwa miaka karibu 30 hawajaacha kugombea pamoja na kushindwa kila uchaguzi? Tatizo mnataka maisha ya fasta ndiyo maana mnafeli na kukosa dira. Kila kitu hapa duniani kina process yake hadi kufikia kukomaa/kufanikiwa.
 
Mpumbavu tu huyo.
Msomi anaonesha upumbavu wake nje nje.Nchi ina vijana wa hovyo sana.
Hiyo ndiyo CCM ambako demokrasia inatamalaki. Ingekuwa kwenu huko CHADEMA ungesikia SUMU HAINAKUONJWA- aliambiwa hivyo Sumaye
 
Nzuri kwake, mchakato wa kutafuta spika ukiisha atakua tayari amejiexpose, tuvyeo tudogo twa UVCCM atitupata
 
Ujue kwa namna fulani hiyo ni sawa na interview and business process ya aina yoyote. Bila networking, connections, strategic plans, referees, initiatives, intelligence, humility na KUJITOSA KIAINA, aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeee utaishia kutusoma wenzio magazetini na kututazama ITV na Channel 10.
Lkn pia elimu lazima iwasaidie; kwa nini wanawaza kufanikiwa kirahisi-rahisi, kwa kubebwa-bebwa, na kwa kujipendekeza-pendekeza?

Vv
 
Mkuu umeona Kama Mimi, huyo mwezangu anatengeneza njia yake, atajadiliwa na m/kiti wa ccm (Rais),na tayari atakuwa amesafisha njia kulingana na mfumo wa siasa yetu.
Yes, he is smart pia ana udhubutu na Ile dhamira yake ya kujaribu mambo na Dunia hii Ili ufanikiwe inabidi uwe risk taker mkubwa unayechukua hatua ya mwanzo hata ka jambo linaonekana refu ka mlima Kilimanjaro unaenda hivo hivo ku face reality ya jambo na lazima utoboe. So to me huyu kijana ana kaudhubutu na atafika mbali uoga wa wengi kuchukua first step imekuwa kikwazo kwa wengi
 
Upumbavu wake kutaka sifa.we utashindana na chenge,zungu na tulia?stupid kabisa
Umemtukana sehem ambapo apa staili kutukana.. kijana sio mupumbavu
Inawezekana wew n miongon mwa watu wanaojsikia uchungu au wivu kuona mtu anafanya au anajalbu kufanya ktu kzur

Shida ni ww... sio kijana wa watu muombe radhi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Ficha mbali huu upumbavu wako, huenda utakufaa huko mbeleni.
Nimesoma na kufanya kazi na chawa na attention seeker kama hawa,ni mpumbavu tu ccm ina wenyewe,mbinu zake za kiboya sana,hata hela ya fomu hana ,nakuhakikishia hatorudisha fomu kwa kukosa hiyo milioni moja
 
Kila mtu ananafasi yake na maisha haya bila shobo promote connection na proud "utoboi " ko dogo akitoboa mtaishia kusemaaaa ooooo eeeee nyambaf wa-tz bhana
 
Ebu chukulia angekuwa mdogo ako au jamaa yako nadhan ungekuwa unasema mengine hapa "acha roho ya korosho mkuu"
Lkn pia elimu lazima iwasaidie; kwa nini wanawaza kufanikiwa kirahisi-rahisi, kwa kubebwa-bebwa, na kwa kujipendekeza-pendekeza?
 
Back
Top Bottom