Mwanafunzi atangaza kuwania nafasi ya Spika wa Bunge

Anataka kuwa spika awaongoze mama na baba zake.
Mwambieni atulize kinyeo na aendelee kunyoanyoa vyuzziii hadi afikishe walau 35.
Asidhani uspika wa bunge ni sawa na uongozi wa darasa lake.
Asome kwanza aache tamaa za fisi.
 
Pesa katoa wapi 1m hizi ni kiki za kijinga tu.
Anhaa! Kuhusu pesa...IPO hivi.. alienda kwa lengo la kujua gharama za kuchukua form! Ila. Baada ya kuambiwa Ni 1m akawa katoka Sasa sijui kesho ataifata hiyo form au ndio Basi tena
 
Strategic leadership. Subiri utajua kama ni mpumbavu.
Kesho utashangaa Akimaliza masomo anapelekwa ofisi za chama kukitumikia ( ajira)
Baada ya muda mbunge na hatimaye,naibu Waziri
Dogo ana maono ya mbali sana na umaarufu kashaupata na itakuwa rahisi yeye kutoa kuliko vijana ma jobless kitaa
 
Mmh Kaka! Mimi Naona huo Ni uthubutu Mkubwa Sana.
Vijana wa ccm!Ameona kitu kipo wazi naye anatest zali.Yale yale ya uroho.Kwa nini asisubiri ahitimu masomo yake kwanza?
Hivi akichaguliwa ataahirisha masomo ama atakuwa akitokea chuo na msafara wa ma V8 ya spika?
 
Vijana wa ccm!Ameona kitu kipo wazi naye anatest zali.Yale yale ya uroho.Kwa nini asisubiri ahitimu masomo yake kwanza?
Hivi akichaguliwa ataahirisha masomo ama atakuwa akitokea chuo na msafara wa ma V8 ya spika?
Hapo Sasa
 
Kifupi huyo kachonga barabara mapema amejua kuitumia fursa mapema

Kitendo Cha jina lake kujadiliwa mbele ya kamati kuu ya taifa ya Chama n kengele tosha kuwa Wana asset ipo nyuma

Litunzen hilo jina miaka 5 mbele litafuteni Tena unaweza ukastaajabu

Siasa za Sasa Wala hazihitaji weledi huhitaji tukio moja TU ambalo litaacha alama katika maisha yako
mbona pichani hajaonesha fomu wala hana hata mkoba. Amepewa kweli??
 
Dogo anajaribu kuonekana ingekuwa enzi za hayati mayanga angempa ukurugenzi wa wilaya
 
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere MNMA ni chuo kikuu siku hizi?
 
Back
Top Bottom