Mkuu,,kijana ana ulemavu wa mguu nini?? Mguu wa left nauona hauko sawa au macho yangu
Unathubutu kuingiza mkono kwenye shimo ambalo una uhakika wa asilimia 100 kuwa nyoka yupo ndani yake!!!????Mmh Kaka! Mimi Naona huo Ni uthubutu Mkubwa Sana.
Hopeless kabisa! Mbona vyama vya upinzani kwa miaka karibu 30 hawajaacha kugombea pamoja na kushindwa kila uchaguzi? Tatizo mnataka maisha ya fasta ndiyo maana mnafeli na kukosa dira. Kila kitu hapa duniani kina process yake hadi kufikia kukomaa/kufanikiwa.Unathubutu kuingiza mkono kwenye shimo ambalo una uhakika wa asilimia 100 kuwa nyoka yupo ndani yake!!!????
Huo si uthubutu,huo ni uzuzu.
Hii ni style ya kujitangaza tuu.
Hiyo ndiyo CCM ambako demokrasia inatamalaki. Ingekuwa kwenu huko CHADEMA ungesikia SUMU HAINAKUONJWA- aliambiwa hivyo SumayeMpumbavu tu huyo.
Msomi anaonesha upumbavu wake nje nje.Nchi ina vijana wa hovyo sana.
hujawahi hata umonitor hafu unamtukana kijana wa watu.. foolishMpumbavu tu huyo.
Msomi anaonesha upumbavu wake nje nje.Nchi ina vijana wa hovyo sana.
NAKAZIAMpumbavu tu huyo.
Msomi anaonesha upumbavu wake nje nje.Nchi ina vijana wa hovyo sana.
NakaziaKwenye msafara wa mambo kenge nao wapo...
Lkn pia elimu lazima iwasaidie; kwa nini wanawaza kufanikiwa kirahisi-rahisi, kwa kubebwa-bebwa, na kwa kujipendekeza-pendekeza?Ujue kwa namna fulani hiyo ni sawa na interview and business process ya aina yoyote. Bila networking, connections, strategic plans, referees, initiatives, intelligence, humility na KUJITOSA KIAINA, aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeee utaishia kutusoma wenzio magazetini na kututazama ITV na Channel 10.
Yes, he is smart pia ana udhubutu na Ile dhamira yake ya kujaribu mambo na Dunia hii Ili ufanikiwe inabidi uwe risk taker mkubwa unayechukua hatua ya mwanzo hata ka jambo linaonekana refu ka mlima Kilimanjaro unaenda hivo hivo ku face reality ya jambo na lazima utoboe. So to me huyu kijana ana kaudhubutu na atafika mbali uoga wa wengi kuchukua first step imekuwa kikwazo kwa wengiMkuu umeona Kama Mimi, huyo mwezangu anatengeneza njia yake, atajadiliwa na m/kiti wa ccm (Rais),na tayari atakuwa amesafisha njia kulingana na mfumo wa siasa yetu.
Umemtukana sehem ambapo apa staili kutukana.. kijana sio mupumbavuUpumbavu wake kutaka sifa.we utashindana na chenge,zungu na tulia?stupid kabisa
Nimesoma na kufanya kazi na chawa na attention seeker kama hawa,ni mpumbavu tu ccm ina wenyewe,mbinu zake za kiboya sana,hata hela ya fomu hana ,nakuhakikishia hatorudisha fomu kwa kukosa hiyo milioni mojaFicha mbali huu upumbavu wako, huenda utakufaa huko mbeleni.
Lkn pia elimu lazima iwasaidie; kwa nini wanawaza kufanikiwa kirahisi-rahisi, kwa kubebwa-bebwa, na kwa kujipendekeza-pendekeza?
Huyu dogo ana akili kubwa ,tena kubwa Sana hawezi kushinda ila akili anazo ,akili kama za huyu dogo huwa zinafikisha watu mbaliMpumbavu tu huyo.
Msomi anaonesha upumbavu wake nje nje.Nchi ina vijana wa hovyo sana.