Kazi kweli kweli sasa hapo kuna shule kweli hapo?ni wanafunzi wa shule gani?wako boarding au day scholars?inasikitisha sana kwa wazazi wa hao mabinti!Vaa viatu vya wazazi wao!wanavyoparangana kuwapa mahitaji na kuwalipia ada wasome........
Khaaa! Yaani hii ni vita ya SAUSAGE MTU? Sikujua kama demand yetu ni kubwa kiasi hiki! Sasa hawa ni watoto wa shule; wakimaliza na kurudi mtaani si ndio watachomeana hadi nyumba kisa SAUSAGE MTU?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.