Mwanafunzi amwagiwa maji ya moto na mwanafunzi mwenzake kisa wagombania mabwana

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
532240_489586957758912_840115797_n.jpg
 
Kazi kweli kweli sasa hapo kuna shule kweli hapo?ni wanafunzi wa shule gani?wako boarding au day scholars?inasikitisha sana kwa wazazi wa hao mabinti!Vaa viatu vya wazazi wao!wanavyoparangana kuwapa mahitaji na kuwalipia ada wasome........
 
mapenzi yana mambo wengine wanajinyonga.wengine wanapata vilema vya maisha love is dangerous pole mwaya .
 
Hivi wazazi wao wanajisikiaje wakisikia visa vya watoto wao kama hivi! acha noma na iwe noma!
 
dah jamani mapenz tu yanatufikisha hapa?atawapa hadhthi watoto na wajukuu wake hapo badae kuhusu uo ukilema wake?
 
Good for them. Wanadhani wanachuna mabuzi ili wasome kumbe ndiyo wanajimaliza. Njaa ukiivalia kibwaya inakufikisha pabaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom