Mwanafunzi akwea umeme Ubungo kupinga demokrasia mbovu serikali ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanafunzi akwea umeme Ubungo kupinga demokrasia mbovu serikali ya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Kwa mlioona yule mwanafunzi wa form 3 ambaye aliamua kupanda kwenye nguzo ya umeme pale Ubungo kwenye mataa akilalamika uongozi mbovu wa serikali ya Kikwete hauna demokrasia inayostahili.

  Nilihisi mchezo wa comedy mpaka nilipoona gari la TANESCO likimshusha kijana kwenye nguzo zilizopewa jina la Kakobe!!!

  Kijana baada ya kushuka alilama serikali ya Tanzania haina maana kabisa kabla ya kuelekea kwenye gari la maafisa usalama kwa maelezo zaidi... sijui ametumia njia sahihi kuwakilisha ujumbe wake lakini nahisi ni vyema akapewa nafasi ya kujieleza yawezekana ana mawazo mazuri .......

  Pole utakapokuwa kijana Demokrasia alikufa nayo Nyerere tena alikuwa nayo nusu nusu imebaki mbinguni haijampata mwenyewe; we soma ukiona yamekushinda tafuta ajira hii serikali ina pamba masikioni hata ufanyeje mdogo wangu
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,116
  Trophy Points: 280
  tehe..tehe.tehe.....te...te........teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..........
   
Loading...