Mwanafa, dully na skendo ya kucopy wimbo...Dully atukana redioni

ndo kina nani hao?

Jaribu kupata picha ya mashoga (washikishwa ukuta) wakigombana. Dully alishikishwa ukuta miaka ya nyuma baada ya kufumaniwa akimla denda mke wa mtu, jamaa wakamfanyizia kishenzi. Sasa zile hasira za kuliwa kisamvu akamtolea huyu yanki kwenye clouds media badala ya kuambiwa ukweli kuwa anakopi beats za watu. Kwa hasira akajisahau na kuanza kumshambulia jamaa kuwa ni shoga wakati yeye mwenyewe alishabirikiwa kitambo. Nyani haoni kundule.
 
eh,,,,,kazi kweli kweli,,,,,mdau una mengi kuhusu ushoga wa dully
 
Ni msanii pili sasa(wa kwanza alikuwa TID) anamtukana mtangazaji yule yule wa redio ile ile, kipindi kile kile.
Hii redio ina matatizo tuu.
 
nakuunga mkono ukweli kabisa clouds wengi wafanyakazi wa kiume wanatabia za kupenda wanaume wenzao na hii nimeishuhudia sana kwa rafiki yangu alikuwa ana washkaji zake hapo msg alizokuwa anazotumiwa zilikuwa zinamtatanisha akabidi aniambie maana mimi ni rafiki yake wa karibu nikamuambia tuweke mtego naye awe anajibu kimahaba hivyo hivyo mwisho wa siku huyo waliendelea kwa muda siku ya siku ikabidi amuambie live through text kuwa anamfeel sana wakalale woote hapo ndipo nikamuambia deal tutawaweka kwenye magazeti ilibidi jamaa aje na mshkaji wake na tena mfanyakazi mwenzake wamuombe msamaha tena kwa kulia ki ubinadamu walisameheana na kuanzia siku hiyo tunajua jamaa ni watu wa namna gani na tena wanatuheshimu sana sana maana tunawajua ila hatuna matatizo nao maana wameamua kuwa hivyo kwa hiyo siwezi kuwahukumu. ila hapo dully alikuwa anafikisha ujumbe wa ukweli na we subiri kitakachotokea utaniambia watasema bora liwe na liwe maana hata huyo dully ana maskendo kibao yakupenda vijana wazuri nakuambia watamuumbua siku si nyingi. woote wanajuana.
 
Ni msanii pili sasa(wa kwanza alikuwa TID) anamtukana mtangazaji yule yule wa redio ile ile, kipindi kile kile.
Hii redio ina matatizo tuu.
Tatizo sio redio tatizo ni wasanii hawana shule!!! unaweza nitajia wapi ushaona mtu mwenye shule yake akafanya upuuzi kama huo..mbona prof J , Mwana FA waliokwenda shule hawajawahi tukana mtu redioni?? kwanza huyo TID najifanya kujua kingereza lakini anapiga broken mbaya..ndo anakua wa kwanza kutukana watu..hawajui jinsi ya kuhandle interviews..kumbuka kwamba clouds hiyo hiyo ndio inawapa promo kila siku na clouds hiyo hiyo ndio wameitukana..vipaji vya kuunga unga ..kubebwa wabebwe halafu they can't even behave??? bure kabisa..hili tatizo halipo kwa wanamuziki tu bali kwa wale wotee wanaojiita superstars..they don't know how to handle situations in interviews ..mtu mwenye busara utamtambua tu pale unapopata swali gumu kama hilo unaweza lijibu vipi proffessionally, lakini kwakuwa vichwa vyao maji..anabakia tu kutukana..hana akili zaidi ya kunywa bia tu...majinga makubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom