Mwanadamu

MAHELO. E.B

Member
Aug 13, 2013
27
6
Hivi ni kweli maisha ya Mwanadamu hubadirika kama vile Kinyonga abadilishavyo rangi kutokana na mazingira aliyomo? Jaribu kutazama tulipotoka, tulipo sasa na tunapokwenda katika nyanja mbalimbali.
 
mwanadamu abadiliki ni yule yule wa jana na leo sema amevaa nguo nyingine.
 
Back
Top Bottom