Mwanadamu: Kiumbe hatari kuliko vyote Duniani mpaka dakika hii

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,791
12,184
Umewahi kaa ukaanza kuwaza kiumbe gani hatari sana kwa maisha ya binadamu ulimwenguni kote? Ukadhani nyoka, simba, nyati, wadudu n.k?

Achana nao hao utapata dhambi bure ya kudanganya na kusingizia viumbe visivyo na hatia. Asikudanganye mtu akakutajia sijui mdudu au mnyama gani kuwa ni hatari sana kwa Binadamu.

Kiumbe hatari zaidi kwa ustawi wa Binadamu ni BINADAMU. Sometime ni bora ukutane hata na mnyama mkali kuliko binadamu. Unajua katika Vita tu Binadamu ameua binadamu wenzie zaidi ya Milion 160? Katika vita tu.

Na hapo hatujachukua hesabu miaka ile ya nyuma kabla ya masihi, ilikuwa balaa, miaka ile ya hamsini kweusi huku Afrika.

Binadamu tunauana sana kuliko tunavyouawa na viumbe wengine. We angalia tu sehemu mbali mbali sometimes tunauana kwa sababu za kipuuzi sana. Imagine demu tu anasababisha tuuane. Papuchi tu.

Yaani mtu anaona mwenzake hastahili kuishi sababu kala papuchi ambayo amekuwa akila na yeye. Au simu tu mtu anakutoa roho

Imagine hayo mabomu tunatengeneza na kuyahifadhi utadhani tutakuja vamiwa na aliens. Hamna. Ni kwa ajili ya kuuana sisi sisi. Hata tunafanya mazoezi namna ya kumuua mwenzetu vizuri.

Inasikitisha sana. What if tungeishi tu kwa amani kijamaa? Mi nakuja kwako nakuta una mke au demu mkali nakwambia tu "Bob ngoja nami nikaoshe rungu" unanijibu "haina noma bro fanya fasta nami nataka kutumia baadaye usimchoshe.

Nakuja kwako nakukuta una simu kali nakwambia "bwashee niachie hii nikauze sura kwenye harusi " unanambia "toa hiyo line"

Basi ndo maisha yanaenda kwa kuazimana na kubadilishana.hamna kuuziana.so hata ukiiba hutaweza uza.so omba unapewa.

Halafu imagine ndo miaka ambayo hakuna NEGATIVE. hakuna kukataa.hata huo msamiati haupo.so ukiomba unapewa tu.ukitaka unapata tu.

Umekaa home demu mkali anakuja anasema ana shida nawe, unamsikiliza anasema yeye ni mke wa jirani yako nyumba ya tatu. Huwa anakuona unapita pita pale nje. Leo amekuja umpige miti.mumewe kampa masaa manne awahi kurudi home nako akapigwe mti.

Basi unamwambia sawa, mnaenda ndani unakula mzigo then anaamka anaenda nawa au oga anaondoka zake. Kawaida tu.

Basi hayo ndo maisha ambayo yangetufanya wala tusiuane. Mpaka dk hii nakwambia anayehatarisha maisha ya mwanadamu ni mwanadamu mwenyewe.
 
Kinamba kweli tupo juu Ila kiuhatari hivi unamjua Simba wewe..?
Mamba je na lile sura lake..?
Unamjua fisi wewe..??

Sasa Kuna wale wengine wanapenda kusema ati heri kuliwa na fisi kuliko kuliwa na Simba!!! Hawajui kuliwa ni kuliwa tu..😂
 
Hao hapo
IMG-20200824-WA0039.jpg
 
nilipoona kichwa cha habari TU nilijua kiumbe hatari atakuwa mwanamke ama binadamu. lakini ndugu mleta uzi ukipatwa na tatizo utataka kiumbe huyo huyo wa ajabu ndie awe msaada kwako.
 
Kabisa mkuu. Binadamu ndio hatari kuzidi kiumbe chochote. Ila hapo ukifika kwa bro unamkuta demu uoshepo na wewe rungu........wengine marungu yenu kutu,mpaka demu hataki kwingine wiki
 
😂😂😂😂😂😂 ndo tunapaswa kuishi hivyo.

Kabisa mkuu. Binadamu ndio hatari kuzidi kiumbe chochote. Ila hapo ukifika kwa bro unamkuta demu uoshepo na wewe rungu........wengine marungu yenu kutu,mpaka demu hataki kwingine wiki
 
Three dangerous killing machines of all time..
1.🙋
2. Diseases
3. Women.
Kwa miongo mitatu wanawake Bado wameshikilia nafasi ya kwanza na ya pili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom